Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Yaani atatahiriwa bila ganzi?? Duh 😌😌 hayo maumivu yake, itakuaje?
 
Umri wowote ukiona amenza kudisa, mtahiri ili aanza kujifunza kukitumia mapema.
 
2 ni umri sahihi wakutahiri wanaume madume ya mbegu ila kwa wamasai ni 18 na 21 bila ganzi wanarudi wamechanganyikiwa
 
Umri mzuli ni kuanzi miaka 7-12 , unajua ukimtaili mtoto wa mwezi au wiki inakuwa hivi, uume unakuwa hauna ngozi toshelezi kinachofanyika ile ngozi inapindwa kwa nyuma kisha inashonwa ndio tayali hapo sasa baada hapo uume unakuwa hauna sura nzuri lkn pia ikiwa mtoto ana miaka 2 ukamtahili unasababisha asiwe na uume mkubwa team vibamia vinaanzia hapa, , mm nimetailiwa nikiwa na miaka 10 tena bila ganzi mnapelekwa polini hukoooooo tulikuwa watu 5 , achana na hii habari ukitoka huko umeiva kweli kweli , na unakuwa na mashine tamuuu kinyama

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mi mwenyewe dogo hadi amalize la 7 ndo atakatwa
 
Mwanangu nilimfanyia tohara akiwa na mwaka na miezi miwili alipona chap sana njia ya kushina naona iko njema tu na kwa mtoto mdogo haina usumbufu. Nina shangazi yangu mwaka 2003 alimtahiri mwanae wa kiume akiwa darasa la nne kama sijakosea dogo alipata tabu maana akiangalia movie na sisi mchana unakuta movie ina mambo ya kula mate mfano siku moja tulikua tunaangalia movie ya joshua tree mwamba akimla dem denda chini ya daraja pale dogo akadinda kidonda kikaanza kutoa damu ikabidi tuwe tunamkataza kuangalia movie. Naamini akiwa mdogo hata kujitonesha inakua ngumu tofauti na akishaanza kukimbizana kama swala
 
Hakuna uhusiano wowote baina ya kutahiri mapema na nguvu za kiume.
 
Sasa mnaangaliaje pono na mtoto asee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…