Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Kuhusu umri not so sure ila bila shaka miaka mitatu,minne hadi sita ila isizidi kumi sio mbaya coz sisi kipindi hicho tulicheza humo......

What i know binafsi siwezi mtahiri mtoto hospitali yani sijui kushonwa sijui ganzi kwenye hiyo kitu ni BIG NO,niliwahi kupata ajali ya mguu karibu miaka miwili iliyopita nikashonwa ila ile ganzi till now haijapotea ndo iwe huko kwenye hazina kuu kweli? Haya matatizo sijui ya nguvu za kiume sijui na takataka gani huanzia huku....Binafsi sijawahi ona mtu mwenye tatizo la aina hiyo ambaye alipata jando la asili na kama yupo humu atoe ushuhuda.
Yaani atatahiriwa bila ganzi?? Duh 😌😌 hayo maumivu yake, itakuaje?
 
Jamani wadau nisaidieni mwenye kujua haya mambo, ni umri upi unaoshauriwa kitaalamu kumtahiri mtoto wa kiume, na je kuna njia ngapi za kufanya hiyo kitu.

Maana kuna maneno yanasema eti ukimfanyia akiwa bado mdogo kuanzia miaka 0 hadi mmoja eti atakuja kuwa dhaifu katika ile shughuli ya kikubwa, wengine wanasema ukimfanyia kakua ndio hiyo kitu itamtokea akiwa mkubwa

Pia njia ipi ni salama zaidi mimi najua ya kukata na kushonwa naambiwa ipo nyingine yakufunga na plastiki, je ipi ni nzuri?

Nategaemea msaada wenu waungwana, maana kunasehemu nilisoma eti matatizo mengi ya wanaume kushindwa kuwatimizia wepenzi wao tohara isiyo sahihi ni moja ya sababu
Umri wowote ukiona amenza kudisa, mtahiri ili aanza kujifunza kukitumia mapema.
 
2 ni umri sahihi wakutahiri wanaume madume ya mbegu ila kwa wamasai ni 18 na 21 bila ganzi wanarudi wamechanganyikiwa
 
Umri mzuli ni kuanzi miaka 7-12 , unajua ukimtaili mtoto wa mwezi au wiki inakuwa hivi, uume unakuwa hauna ngozi toshelezi kinachofanyika ile ngozi inapindwa kwa nyuma kisha inashonwa ndio tayali hapo sasa baada hapo uume unakuwa hauna sura nzuri lkn pia ikiwa mtoto ana miaka 2 ukamtahili unasababisha asiwe na uume mkubwa team vibamia vinaanzia hapa, , mm nimetailiwa nikiwa na miaka 10 tena bila ganzi mnapelekwa polini hukoooooo tulikuwa watu 5 , achana na hii habari ukitoka huko umeiva kweli kweli , na unakuwa na mashine tamuuu kinyama

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mi mwenyewe dogo hadi amalize la 7 ndo atakatwa
 
Mwanangu nilimfanyia tohara akiwa na mwaka na miezi miwili alipona chap sana njia ya kushina naona iko njema tu na kwa mtoto mdogo haina usumbufu. Nina shangazi yangu mwaka 2003 alimtahiri mwanae wa kiume akiwa darasa la nne kama sijakosea dogo alipata tabu maana akiangalia movie na sisi mchana unakuta movie ina mambo ya kula mate mfano siku moja tulikua tunaangalia movie ya joshua tree mwamba akimla dem denda chini ya daraja pale dogo akadinda kidonda kikaanza kutoa damu ikabidi tuwe tunamkataza kuangalia movie. Naamini akiwa mdogo hata kujitonesha inakua ngumu tofauti na akishaanza kukimbizana kama swala
 
Umri wa miaka 12 ndo sahihi, maana mishipa mingi ya fahamu inaonekana inakopitia, ganzi inawekwa kulingana na umrikulko inavyowekwa kulingana bna uzito, sio rahisi kukata uzi ulio chini ya uume unaosaidia kuvuta mabao mengi nk.

Ukitaka kuakikisha tembelea mikoa ya kanda ya ziwa, wanatahili wakiwa wakubwa ndio maana hawana matatizo ya nguvu za kiume tofauti na pwani, utakuta jamaa ana umri wa miaka 25 eti hana nguvu za kiume anatumia vidonge, !!!!!!! nk
Hakuna uhusiano wowote baina ya kutahiri mapema na nguvu za kiume.
 
Mwanangu nilimfanyia tohara akiwa na mwaka na miezi miwili alipona chap sana njia ya kushina naona iko njema tu na kwa mtoto mdogo haina usumbufu. Nina shangazi yangu mwaka 2003 alimtahiri mwanae wa kiume akiwa darasa la nne kama sijakosea dogo alipata tabu maana akiangalia movie na sisi mchana unakuta movie ina mambo ya kula mate mfano siku moja tulikua tunaangalia movie ya joshua tree mwamba akimla dem denda chini ya daraja pale dogo akadinda kidonda kikaanza kutoa damu ikabidi tuwe tunamkataza kuangalia movie. Naamini akiwa mdogo hata kujitonesha inakua ngumu tofauti na akishaanza kukimbizana kama swala
Sasa mnaangaliaje pono na mtoto asee?
 
Back
Top Bottom