Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa

Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa nawasema watu wenye miaka kuanzia 30 inakuaje mpaka sasa haeleweki kumbe weeeh nilikuwa natukana mamba kabla sijavuka mto wakuu wakati nakaribia miaka 30 bado miaka 3 niikaribie Mambo yameanza kuwa vice Versa sijui ni laana za wana daaah sijui nifanyeje

Kumbe maisha ni Safari ndefu hivi? Sikuwahi kujua kabisa ila ndiyo hivyo sina budi kukubali na hali wakuu 😭😭😭😀😀 samahanini niliowananga watu humu jamii forum Na huku street nimeanza kumtembelea kila mtu Na kuanza kuwaomba msamaha.
Kuna watu hawajawai ku hustler ni baba angu mzazi mpaka anastaafu..
 
Kwani weye ni wakutoka ukanda upi wa taifa letu nijuavyo upo ukanda wa kujimwambafai kama ni wa ukanda huo shida sii yakoila tu masikio yaliźidi kichwa.
 
Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa

Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa nawasema watu wenye miaka kuanzia 30 inakuaje mpaka sasa haeleweki kumbe weeeh nilikuwa natukana mamba kabla sijavuka mto wakuu wakati nakaribia miaka 30 bado miaka 3 niikaribie Mambo yameanza kuwa vice Versa sijui ni laana za wana daaah sijui nifanyeje

Kumbe maisha ni Safari ndefu hivi? Sikuwahi kujua kabisa ila ndiyo hivyo sina budi kukubali na hali wakuu 😭😭😭😀😀 samahanini niliowananga watu humu jamii forum Na huku street nimeanza kumtembelea kila mtu Na kuanza kuwaomba msamaha.
Kuna jamaa anataka vidole gumba hivyo.
 
Back
Top Bottom