Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
mzee unaleta utani, unasema una nyumba mbili?Yaani life tough sana,mimi nna nyumba mbili lakini bado life linakabia juu.Kuna natamani kuanza kushona viatu ila najikaza kiume.Sasa hela kupata ijae ni ngumu ila sasa kuisha ni dakika sifuri
Mimi kodi ya 50k inanifanya kichwa kinauma,
Yani hii degree ada ningenunulia bajaji ningepata 10k kila day.
Muhindi anakwambia nakupa 250k huku anaangalia pembeni asije kukuonea huruma.