Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa

Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa nawasema watu wenye miaka kuanzia 30 inakuaje mpaka sasa haeleweki kumbe weeeh nilikuwa natukana mamba kabla sijavuka mto wakuu wakati nakaribia miaka 30 bado miaka 3 niikaribie Mambo yameanza kuwa vice Versa sijui ni laana za wana daaah sijui nifanyeje

Kumbe maisha ni Safari ndefu hivi? Sikuwahi kujua kabisa ila ndiyo hivyo sina budi kukubali na hali wakuu 😭😭😭😀😀 samahanini niliowananga watu humu jamii forum Na huku street nimeanza kumtembelea kila mtu Na kuanza kuwaomba msamaha.
😂😂😂😂Mkuu jipange tufuta boda uanze kuendesha au bajaji utatoboa tuu! Unaweza kuingia 40 hivi hivi kima sihara….
 
Nawakumbusha

T.i.d anaish kwao

Q chira anaish kwao

Babu wa tiktok anisha kwao

Riz one anishi kwao

Nape nauye anish kwao

Wema anaish kwao

Jb anish kwao

Mwigulu nchemba bado anaish kwao

Nape anish kwao

Samia suluhu anishi kota pale feli

........tuliza wenge brooo life sio namba bali mtazamo wako
 
Paka useme ptuuu lanyeee na uteme mate pembeni.

Sema life kwa ground ni tough sana, life linakabia juu kinoma yani linafanya high line pressing.

Kuna mda nawaonea wivu wamasai wanaobadilisha chenji kwa makonda wa daladala vituoni.
 
Ulikuwa unatukana mamba kabla ya kuvuka mto bila ya plan ya kujenga daraja au mtumbwi na hayo ndio matokeo mkuu.

Katika kitu muhimu sana kijana mdogo unatakiwa kuwa nacho ni kujitambua. Good thing nilikipata mapema.
 
Paka useme ptuuu lanyeee na uteme mate pembeni.

Sema life kwa ground ni tough sana, life linakabia juu kinoma yani linafanya high line pressing.

Kuna mda nawaonea wivu wamasai wanaobadilisha chenji kwa makonda wa daladala vituoni.
Yaani life tough sana,mimi nna nyumba mbili lakini bado life linakabia juu.Kuna natamani kuanza kushona viatu ila najikaza kiume.Sasa hela kupata ijae ni ngumu ila sasa kuisha ni dakika sifuri
 
Yaani life tough sana,mimi nna nyumba mbili lakini bado life linakabia juu.Kuna natamani kuanza kushona viatu ila najikaza kiume.Sasa hela kupata ijae ni ngumu ila sasa kuisha ni dakika sifuri
Una nyumba au unavibanda? Chukua mkopo au uza nyumba moja ufanye biashara sio kufikiria kushona viatu
 
7cc448b7b9b5154e80c1205d081e0cfd.jpg
 
mpaka sasa haeleweki kumbe weeeh nilikuwa natukana mamba kabla sijavuka mto wakuu wakati nakaribia miaka 30 bado miaka 3 niikaribie Mambo yameanza kuwa vice Versa sijui ni laana za wana daaah sijui nifanyeje

Kumbe maisha ni Safari ndefu hivi? Sikuwahi kujua kabisa ila ndiyo hivyo sina budi kukubali na hali wakuu 😭😭😭😀😀 samahanini niliowananga watu humu jamii forum Na huku street nimeanza kumtembelea kila mtu Na kuanza kuwaomba msamaha.
Bado mdogo Sana wewe......muda wa kupambana na maisha unao bado hayo ya Umri hata yasikutese.
 
Bado mdogo Sana wewe......muda wa kupambana na maisha unao bado hayo ya Umri hata yasikutese.
Maisha hayana formula wala hayaeleweki,nna 38 years nyumba mbili lakini naona Maisha bado najitafuta na life linanikabia juu.Lakini mwingine ana 45 hana nyumba hata moja na anafurahia maisha.
NB;Maisha ya duniani ni upuuzi tu so shukuru mungu kwa kile ulichonacho na furahia kwakidogo ulichonacho
 
Back
Top Bottom