Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

Kuna watu hawajawai ku hustler ni baba angu mzazi mpaka anastaafu..
 
Kwani weye ni wakutoka ukanda upi wa taifa letu nijuavyo upo ukanda wa kujimwambafai kama ni wa ukanda huo shida sii yakoila tu masikio yaliΕΊidi kichwa.
 
Kuna jamaa anataka vidole gumba hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…