Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

Yaani life tough sana,mimi nna nyumba mbili lakini bado life linakabia juu.Kuna natamani kuanza kushona viatu ila najikaza kiume.Sasa hela kupata ijae ni ngumu ila sasa kuisha ni dakika sifuri
mzee unaleta utani, unasema una nyumba mbili?
Mimi kodi ya 50k inanifanya kichwa kinauma,
Yani hii degree ada ningenunulia bajaji ningepata 10k kila day.
Muhindi anakwambia nakupa 250k huku anaangalia pembeni asije kukuonea huruma.
 
Endelea kulima ufuta. Nasikia sasa hivi bei ni nzuri sana.
 
mzee unaleta utani, unasema una nyumba mbili?
Mimi kodi ya 50k inanifanya kichwa kinauma,
Yani hii degree ada ningenunulia bajaji ningepata 10k kila day.
Muhindi anakwambia nakupa 250k huku anaangalia pembeni asije kukuonea huruma.
We jamaa😁😁 , kwamba muhindi anakuambia nakupa 250k huku anaangalia pembeni asikuonee huruma dah
 
We jamaa😁😁 , kwamba muhindi anakuambia nakupa 250k huku anaangalia pembeni asikuonee huruma dah
Na anaona kama hayo mazungumzo yanampotezea mda.

Ila vijana wanaomaliza vyuo sasa nawaonea huruma kama hamna wa kuwashika mkono.

Siamini kama wahindi wanajua hapa Tanzania kuna vyuo, wanahisi sisi tunaishia kusoma na kuandika tuu.
 
Una nyumba au unavibanda? Chukua mkopo au uza nyumba moja ufanye biashara sio kufikiria kushona viatu
Nilitaka kushangaaπŸ˜‚

Nikabaki najisemea kimoyomoyo... "huyu nae anajikosha tu πŸ˜‚..., eti nyumba mbili anafikiria ashone viatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Inamaana zile kodi, mara 6 (yaani miezi sita kila moja) hakosi pesa za kuendesha maisha na kufanyia miradi ya maendeleo?! Nikajipitia kimya, nikasema hayanihusu, ila hapa kwako umemuuliza swali zuri lenye ukweli ndani yake. Otherwise hizi nyumba zitakuwa ni zile za Kigogo, Jangwani, msasani (maandazi road) au Mikocheni "A" chama, zinadidimia zenyewe ardhini siku hadi siku πŸ˜‚
 

Usikate tamaa mkuu ,mimi nilinunua gari la milioni 10 nikiwa na 28 na kuanza kujenga nyumba nikiwa na 31....Bado napambana porini kwa kuchoma mkaa.

Jana niliona clip kuna jamaa kwasasa ana 32 alianza kukamata pesa akiwa na 22 akapambana kwenye aluminium akawa na ofisi kibao akafikisha hadi mtaji wa milioni 900 ,ukijumlisha na thamani ya magari yake 16 anafikisha zaidi ya 1B ,lakini kwasasa 2024 anauza genge mwanamke wa Dubai Habibii alimfilisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…