maiko sultan
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 549
- 1,492
Endelea kupambana,kila kitu kitakua sawa because MUNGU anakupa unachostaili akupi unachotaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeaanza kwa kuchekaa sio kwa niambayaaaMwezi ujao natimiza umri wa miaka 27
1 - SINA KAZI
2 - SINA CHOCHOTE NINACHOMILIKI (KIWANJA/NYUMBA N.K)
3 - SINA MAHUSIANO AMBAYO YANAELEWEKA
4 - SINA MTOTO (SITAMANI KUWA SINGLE MAMA)
HII MIAKA 26 NILIYOISHI DUNIANI NAMSHUKURU MUNGU KWASABABU SIKUILE TULIZALIWA WENGI NA LEO HAWAPO.
NINAMSHUKURU MUNGU KWASABABU NINA AFYA NJEMA KWASABABU KUNA AMBAO WAPO HUKOOO WAPIGANIA UHAI WAOOO HATA WAWEZE KUAMKA KITANDANI
AHSANTE YESU KWA ZAWADI HII YA UHAI HATA NIPO HUKU JF NAANDIKA HAYAAAAA
MIAKA YANGU 27 INANITETEMESHAAAAAA
Hata umbea huna shost;,??Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Mwombe Mungu radhi kama una watotoKwa mwanamke 27 years ni Mzee tayari
Toka 2008 uko humu bado hujajua kuandika tuu mkuu.Nimeaanza kwa kuchekaa sio kwa niambayaaa
2008 nilikurupuka namada moja kama hii damu inachemka nkasema ngoja niende nae sawa
Tukachat tumachat inbox akafikia kunipa namba
Kila nikipiga apokei sijui aliniseti namba yangu ana sms tu.....
Tukapanga appointment alisema anakula vyombo nkasema si ndio huyuu
Hamad sikumoja kabla akaomba nauli nkamtumia bk 5 akasema mbali nkamwambia panda basi ukifika nakupa 10k..
Kila nikimusms anakaribja anakaribiaaa mmh mwaya saa moja usiku hiio mbili hio nikawa nimelipa Lodge moja nikifika nisisumbuke kwenda nirudishiwe akankata bk 5
Kumi ikaenda fyuuuuu sinahamu....na inbox kabda outbox
Baadae nikampotezea siku nikachukua namba ya msela kupiga anapokea msela vipi nani mwenzangu kimya nkusaidie nn kimya
Nkakataaa nkamusms nashukuru
Naomba namba yako PmNiko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Tulia.. mambo mazur yanakuja..Kila kitu kitakuwa sawaMwezi ujao natimiza umri wa miaka 27
1 - SINA KAZI
2 - SINA CHOCHOTE NINACHOMILIKI (KIWANJA/NYUMBA N.K)
3 - SINA MAHUSIANO AMBAYO YANAELEWEKA
4 - SINA MTOTO (SITAMANI KUWA SINGLE MAMA)
HII MIAKA 26 NILIYOISHI DUNIANI NAMSHUKURU MUNGU KWASABABU SIKUILE TULIZALIWA WENGI NA LEO HAWAPO.
NINAMSHUKURU MUNGU KWASABABU NINA AFYA NJEMA KWASABABU KUNA AMBAO WAPO HUKOOO WAPIGANIA UHAI WAOOO HATA WAWEZE KUAMKA KITANDANI
AHSANTE YESU KWA ZAWADI HII YA UHAI HATA NIPO HUKU JF NAANDIKA HAYAAAAA
MIAKA YANGU 27 INANITETEMESHAAAAAA
Kabisaaaaa dia hakuna kama Mungu na hajawahi kushindwa m na dada zangu wa upande wa kina mama wadogo wakikuwa hoi kuanzia mahusiano maisha nkawapa moyo sana mwisho wakanza kulia pa kulalia nkamwambia Mungu nawapa chumba kimoja wapambane nacho wamekaa kwangu 3 yrs akaolewa mmoja send-off mamake akaomba ifanyikie kwangu tulikula bata batan sijapata kuona.........wapili akapata kazi Airport gafla akaniambia na bwana ananipenda wa kithungu nkamwambia pita nae dia he she we I was were this that si unazikumbuka yes dadyNiko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
JUmbe zimekuwa nyingi.Naomba mnielekeze jinsi ya kulock pm yaan mtu asiweze kuniandikia ujumbe pm
Sasa huna Kazi, huna bwana anaeeleweka, huna asset..Naomba mnielekeze jinsi ya kulock pm yaan mtu asiweze kuniandikia ujumbe pm
Kwann?... haijakaa sawa ??27 huna mtoto? Sijui kwann nimekua negative juu ya hii statement
Akili kubwa sana 🙌Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Tuma picha tuone wezereMwezi ujao natimiza umri wa miaka 27
1 - SINA KAZI
2 - SINA CHOCHOTE NINACHOMILIKI (KIWANJA/NYUMBA N.K)
3 - SINA MAHUSIANO AMBAYO YANAELEWEKA
4 - SINA MTOTO (SITAMANI KUWA SINGLE MAMA)
HII MIAKA 26 NILIYOISHI DUNIANI NAMSHUKURU MUNGU KWASABABU SIKUILE TULIZALIWA WENGI NA LEO HAWAPO.
NINAMSHUKURU MUNGU KWASABABU NINA AFYA NJEMA KWASABABU KUNA AMBAO WAPO HUKOOO WAPIGANIA UHAI WAOOO HATA WAWEZE KUAMKA KITANDANI
AHSANTE YESU KWA ZAWADI HII YA UHAI HATA NIPO HUKU JF NAANDIKA HAYAAAAA
MIAKA YANGU 27 INANITETEMESHAAAAAA
Me ni wale waleeHivi wewe ni mwanamke kweli au ni walewale.
Jipe moyo na hili sorry3. Ukiona huna mahusiano yakueleweka jua una tatizo.. jitazame ndani kwanza ndio ujue nje na majibu utayapata