Umri unaenda, nachanganyikiwa

Umri unaenda, nachanganyikiwa

Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - SINA KAZI

2 - SINA CHOCHOTE NINACHOMILIKI (KIWANJA/NYUMBA N.K)

3 - SINA MAHUSIANO AMBAYO YANAELEWEKA

4 - SINA MTOTO (SITAMANI KUWA SINGLE MAMA)

HII MIAKA 26 NILIYOISHI DUNIANI NAMSHUKURU MUNGU KWASABABU SIKUILE TULIZALIWA WENGI NA LEO HAWAPO.

NINAMSHUKURU MUNGU KWASABABU NINA AFYA NJEMA KWASABABU KUNA AMBAO WAPO HUKOOO WAPIGANIA UHAI WAOOO HATA WAWEZE KUAMKA KITANDANI

AHSANTE YESU KWA ZAWADI HII YA UHAI HATA NIPO HUKU JF NAANDIKA HAYAAAAA

MIAKA YANGU 27 INANITETEMESHAAAAAA
Nimeaanza kwa kuchekaa sio kwa niambayaaa

2008 nilikurupuka namada moja kama hii damu inachemka nkasema ngoja niende nae sawa

Tukachat tumachat inbox akafikia kunipa namba

Kila nikipiga apokei sijui aliniseti namba yangu ana sms tu.....

Tukapanga appointment alisema anakula vyombo nkasema si ndio huyuu

Hamad sikumoja kabla akaomba nauli nkamtumia bk 5 akasema mbali nkamwambia panda basi ukifika nakupa 10k..

Kila nikimusms anakaribja anakaribiaaa mmh mwaya saa moja usiku hiio mbili hio nikawa nimelipa Lodge moja nikifika nisisumbuke kwenda nirudishiwe akankata bk 5

Kumi ikaenda fyuuuuu sinahamu....na inbox kabda outbox

Baadae nikampotezea siku nikachukua namba ya msela kupiga anapokea msela vipi nani mwenzangu kimya nkusaidie nn kimya

Nkakataaa nkamusms nashukuru
 
Hata umbea huna shost;,??
 
Naniliu si unamiliki, ndio mtaji wenyewe huo

1000011354.jpg
 
Nimeaanza kwa kuchekaa sio kwa niambayaaa

2008 nilikurupuka namada moja kama hii damu inachemka nkasema ngoja niende nae sawa

Tukachat tumachat inbox akafikia kunipa namba

Kila nikipiga apokei sijui aliniseti namba yangu ana sms tu.....

Tukapanga appointment alisema anakula vyombo nkasema si ndio huyuu

Hamad sikumoja kabla akaomba nauli nkamtumia bk 5 akasema mbali nkamwambia panda basi ukifika nakupa 10k..

Kila nikimusms anakaribja anakaribiaaa mmh mwaya saa moja usiku hiio mbili hio nikawa nimelipa Lodge moja nikifika nisisumbuke kwenda nirudishiwe akankata bk 5

Kumi ikaenda fyuuuuu sinahamu....na inbox kabda outbox

Baadae nikampotezea siku nikachukua namba ya msela kupiga anapokea msela vipi nani mwenzangu kimya nkusaidie nn kimya

Nkakataaa nkamusms nashukuru
Toka 2008 uko humu bado hujajua kuandika tuu mkuu.
 
Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Naomba namba yako Pm
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - SINA KAZI

2 - SINA CHOCHOTE NINACHOMILIKI (KIWANJA/NYUMBA N.K)

3 - SINA MAHUSIANO AMBAYO YANAELEWEKA

4 - SINA MTOTO (SITAMANI KUWA SINGLE MAMA)

HII MIAKA 26 NILIYOISHI DUNIANI NAMSHUKURU MUNGU KWASABABU SIKUILE TULIZALIWA WENGI NA LEO HAWAPO.

NINAMSHUKURU MUNGU KWASABABU NINA AFYA NJEMA KWASABABU KUNA AMBAO WAPO HUKOOO WAPIGANIA UHAI WAOOO HATA WAWEZE KUAMKA KITANDANI

AHSANTE YESU KWA ZAWADI HII YA UHAI HATA NIPO HUKU JF NAANDIKA HAYAAAAA

MIAKA YANGU 27 INANITETEMESHAAAAAA
Tulia.. mambo mazur yanakuja..Kila kitu kitakuwa sawa
 
Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Kabisaaaaa dia hakuna kama Mungu na hajawahi kushindwa m na dada zangu wa upande wa kina mama wadogo wakikuwa hoi kuanzia mahusiano maisha nkawapa moyo sana mwisho wakanza kulia pa kulalia nkamwambia Mungu nawapa chumba kimoja wapambane nacho wamekaa kwangu 3 yrs akaolewa mmoja send-off mamake akaomba ifanyikie kwangu tulikula bata batan sijapata kuona.........wapili akapata kazi Airport gafla akaniambia na bwana ananipenda wa kithungu nkamwambia pita nae dia he she we I was were this that si unazikumbuka yes dady

Nw ana mtoto wakishombe mjomba nasubiria mahari akikua kamantakuwepo...

Never gvup
Na analipia mwanangu ada pamoja na kumkataza aliruka zaidi akaenda shule akaomba acc no nikarushiwa msg loh....

Kama una changamoto ya chumba ntafute siokikubwa kuanzia maisha nakupa bure miezi 8 mpaka mwaka uwe umepambania mwingine aingie
 
Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Akili kubwa sana 🙌
Umenivutia sana na maneno yako yaliyojaa uhai na nguvu ya matumaini.
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - SINA KAZI

2 - SINA CHOCHOTE NINACHOMILIKI (KIWANJA/NYUMBA N.K)

3 - SINA MAHUSIANO AMBAYO YANAELEWEKA

4 - SINA MTOTO (SITAMANI KUWA SINGLE MAMA)

HII MIAKA 26 NILIYOISHI DUNIANI NAMSHUKURU MUNGU KWASABABU SIKUILE TULIZALIWA WENGI NA LEO HAWAPO.

NINAMSHUKURU MUNGU KWASABABU NINA AFYA NJEMA KWASABABU KUNA AMBAO WAPO HUKOOO WAPIGANIA UHAI WAOOO HATA WAWEZE KUAMKA KITANDANI

AHSANTE YESU KWA ZAWADI HII YA UHAI HATA NIPO HUKU JF NAANDIKA HAYAAAAA

MIAKA YANGU 27 INANITETEMESHAAAAAA
Tuma picha tuone wezere
 
Attachments

  • 2bf45d4d707f4cbf80573f1a39c2506c_An_HsGTfn7bGVdoFmnSXpU597H-Ai0S5CuaaPZmhTSa_OFUmGhrWV1EFZ3w3J...mp4
    9.3 MB
3. Ukiona huna mahusiano yakueleweka jua una tatizo.. jitazame ndani kwanza ndio ujue nje na majibu utayapata
Jipe moyo na hili sorry

M yalinikuta 2005 na thread kabisa niliongeleaaa nkachomoka mapema na nkaacha kila kitu uyu ajafikia hata kuacha mali m niliacha unavyojua wewe+ndoa woii

Nkaanza upya 1.nkajiamin
2.nkajipa moyo naweza move on
3.nkajiaminisha nilivyokuwa navyo naweza kuwanavyo upyaaaaaa
4i made it naenjoy life jupitiliza

So ningesema ati na matatizo woii ungenikuta ununio saahizi nimeoaki bus kama sio kinondon

Wakati wa Mungu ukifika hakuna anaweza pingananao
 
Back
Top Bottom