Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

Ni kufunga tu vio na kutokujibu ndio dawa yao, hayo huwa ni maswali ya kiwaki sana
 
Tunavumilia hivohivo..hasa wanawake
Nkiulizwa ntaolewa lini,najibu Mungu akipenda.wengine tuna changamoto za kimaisha kiafya zinazotufanya iwe ngumu kuolewa
Na zaidi sifanyi maamuzi kumfurahisha mtu.nafanya moyo wangu ukiwa umeridhia
Kwahiyo bado hujaolewa Abigail?
 
Hili swali halijawahi nisumbua

Ila recently limeniingia wazee wangu walipoliuliza 'kimasihara'

Japo walifanya kimasihara tu kama Rikiboy
 
Ukisubiri ndoa utachelewa pata mtoto wako tunza mwenzio atakukuta mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…