covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
- Kutokuwekeza mapema:
- Kutokujitunza kiafya:
- Kutojifunza au kuongeza elimu:
- Kukosa kujaribu mambo mapya
- Kutokujali mahusiano
Kwa wale wenye umri wa miaka 30-35, tafadhali tushirikishe majuto yenu, tunataka kujifunza kutoka kwenu!