Mmmh Imani nyingine izi zinatisha sana mpk 45 duuhDaa unajua maisha hayana mpangilio,unawezafika miaka 45 unapata mafanikio ya ajabu
Kama 30-35 anajuta je 70 atafanyaje?......by the way elewa kwamba changamoto huja ili mtu ajifunze na sio ajute.....Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
- Kutokuwekeza mapema:
- Kutokujitunza kiafya:
- Kutojifunza au kuongeza elimu:
- Kukosa kujaribu mambo mapya
- Kutokujali mahusiano
Kwa wale wenye umri wa miaka 30-35, tafadhali tushirikishe majuto yenu, tunataka kujifunza kutoka kwenu!
45 mbona ndogo ongeza tena 20 hapo!Mmmh Imani nyingine izi zinatisha sana mpk 45 duuh