Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Hilo ni kosa kubwa badala ya kujuta tumia muda uliopo vizuri ili muda ukikuacha usije ukajuta kwa mara ya pili hata hivyo age is just a number.Kama 30-35 anajuta je 70 atafanyaje?......by the way elewa kwamba changamoto huja ili mtu ajifunze na sio ajute.....
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
- Kutokuwekeza mapema:
- Kutokujitunza kiafya:
- Kutojifunza au kuongeza elimu:
- Kukosa kujaribu mambo mapya
- Kutokujali mahusiano
Kwa wale wenye umri wa miaka 30-35, tafadhali tushirikishe majuto yenu, tunataka kujifunza kutoka kwen
Labda ungesema kijana wa miaka😎 55-60 ndo aanze hayo majuto.Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
- Kutokuwekeza mapema:
- Kutokujitunza kiafya:
- Kutojifunza au kuongeza elimu:
- Kukosa kujaribu mambo mapya
- Kutokujali mahusiano
Kwa wale wenye umri wa miaka 30-35, tafadhali tushirikishe majuto yenu, tunataka kujifunza kutoka kwenu!
Nishazeeka na familia kubwa.usijute unaweza kubadili maana elimu haina mwisho..
Na ndio umri unao determine aina ya mustakabali wako ukubwani/uzeeni. Vijana kazaneni, ukifika age hiyo ya 35 chaneli hazieleweki rudi square 1, Panga majeshi upya ingia pori jipya kama inawezekanaKipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha:
- Kutokuwekeza mapema:
- Kutokujitunza kiafya:
- Kutojifunza au kuongeza elimu:
- Kukosa kujaribu mambo mapya
- Kutokujali mahusiano
Kwa wale wenye umri wa miaka 30-35, tafadhali tushirikishe majuto yenu, tunataka kujifunza kutoka kwenu!
Upo sahihi Kbsa mkuuYaani miaka 30-35 ujute???labda kama uko jela kwa kutia mimba mwanafunzi,au umekatwa mikono kwa wizi.
Huo ndio muda wa kutafakari na kuchukua hatua kwa yale ambayo hukuyafanya kwa wakati sahihi.
Huu sio muda wa kukesha club na bar tena,sio muda wa kuendesha magari kwa speed kuangalia ya nani ina nguvu,hapa macho ya wengi yameanza kukuangalia afya ya mwili na akili ni muhimu sana,sio wakati wa kutafuta wanawake wenye makalio makubwa au wanaobebeka kirahisi kitandani.
Waliosema maisha yanaanzia 40 hawakukosea,maana huo ndio muda wa tathmini pia bado sio majuto.
Majuto ktk umri huu yanatakiwa yawe katika mfumo wa kushtuka,sio kukata tamaa.