Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Solution imepatikana hapa uzi ufungwe
 
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
Jamaa au wewe .... waswahili wanasema mgonjwa akiwa muongo hupewa dawa sio....... tafadhali ukija kuomba ushauri mambo ya kusema jamaaa yangu wakati ni wewe ndo unakula vibuti na madem

Fanya hivi tafuta hela kwanza kama huna tafuta dem wa hadhi yako watu wa mjini wanasema ligi ndogo oa ....

Achana na madem so ligi zako wanahitaji hela asante
 
Tukiachana na ushirikina
Kama ana tabia akiombwa afu 3 anaanza kuuliza kama mwanamke hana wazazi au hafanyi kazi lazima apate tabu sana.
Hamna kitu kinamkata mwanamke kama hicho mana unajua kabisa hapa nmeingia Usangi.
Mnataka mkituomba hela tuwape?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…