Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Ndo maana ake. Ila jaman mwanaume unasemaje umekosa wa kumuoa? Au mnakua na speculation sana?
Imewahi nitokea Mimi pia.
Hukosi kabisa, ila unapata TU wale ambao si chaguo lako(Kwa mitazamo wako!!!)
Utaoa??.
Ikumbilwe pia kwamba, ukiwa above 35, kundi la wanawake unao interact nao kirahisi ni Hawa above 25.
Wengi wa Hawa wapo kwenye ndoa, au mahusiano butu, au single mothers, nje ya hapa ndo wale wachache wanaofaa au kutofaa kuwa wake. Hivyo mwanamme unakuwa na sample kuuuubwa yenye events kidogo..
 
Back
Top Bottom