Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Puli mnaisingizia sana yani kila mtu anasema puli hivi mara puli vile yani ni hayo tu.

Ku ejaculate ndani ya dakika 5 ni hali ambayo ni standard kiafya.

Angesema dakika 1 hapo ndio tungeanza kumjadili labda ni over weight au namna gani.

Kisayansi mtu anayechelewa ku ejaculate zaidi ya dakika 30 wanasema moja ya sababu ni eidha demu huyo ni mbaya yani hakuvutii au umetumia madawa.

Nafasi ndogo sana inaangukia kwenye hali ya asili yani kuzaliwa ukiwa hivyo.
Hii ya punyeto wamei-overrate sana mkuu maana wanaume asilimia kubwa tushapiga punyeto sana... Kama Kuna mtu hajawahi kupiga punyeto aje apa aape!
 
Miaka yote10 nazunguuka mahospitalini wanasema Sina shida wananipa dawa zakawaida labda Nina hofu walishawahi nipa goat weed nkatumia miez3,nikapewa tadalafil ili niongeze comfidance nkatumia vidonge kama10 za mg2.5 ila nakua naweza nkiwa na dawa baada ya hapo naendelea kama navokuaga mwendo wa dakika5 round kurudia Hadi masaa10 nakuendelea Tena dhaifu
Umeji-dedicate maisha Yako kutombana na ndo maana unahangaika hivyo...
 
Boss

Wewe una tatizo la kisaikolojia zaidi,kwanza umecbekiwa hospital na kuonekana upo fresh tu

Niamini mimi na wengine wote waliosema una tatizo la kisaikolojia,je kabla ya tendo huwi na hofu kwamba uume utalala kama awali?

Huwi na hofu kwamba utamkwaza.mwenza wako tena kama awali?

Je huwi na hofu kwamba utaumbuka tena kwa uume kulala kama awali na kutaka kuuchomeka mapema kabla hujalala?

Naomba majibu yako kwanza
Bro hizi sababu zote ulizotaja ndio huwa zinanisumbua sana na mimi,naomba ushauri wako bro
 
Naam,kama hizi sababu unazo basi hili ni tatizo la kisaikolojia kwa asilimia mia

Sasa kwanza nikufahamishe kitu kimoja,ubongo wako huwa unazifanyia kazi taarifa ambazo wewe umeziamini kuwa ni tatizo,yaan kwa kawaida sehemu ya ubongo ambayo huweka kumbukumbu za kudumu unaitwa subconscous mind,sasa sehemu hii huweka kumbukumbu za matukio ambayo umeyafanya haijalishi ni mazur au mabaya

Kwahiyo huwa na kawaida ya kuleta taarifa hizo na kuzifanyia kazi kila mara pale ambapo tukio fulani hufanyika ambalo linafanana na lile ulilofanya awali

Sasa kila ukikutana na mwenza wako,ubongo wako unaleta kumbukumbu la tendo hilo na kuamini kwamba ni sahihi wewe uume wako kulala,ni sahihi kuwa na hofu,kumbuka sehemu hii ya ubongo haijui kama ni tatizo kwako bali hutekeleza tu jambo hilo

Kwahiyo suluhisho ni kutoa taarifa hizo za awali katika file lako huko ubongoni na kuweka taarifa mpya ambazo zitakuwa nzuri kwako na ambazo unataka zifanyiwe kazi

Je utawekaje taarifa mpya? Ni kwanza ujue hilo ni tatizo hivyo usipaniki jua linatibika na kuondoka kabisa

Cha kufanya mweleze mwenza wako tatizo zima kuhusu wewe,na umtake akusaidie upone hiyo shida yako,namna gani anaweza kukusaidia ni kuelewa changamoto yako,pili akuvumilie pale unapokojoa mapema au pale uume unaposhindwa kusimama, ikiwezekana mwambie akupe maneno ya matumaini kwamba utakuwa sawa

Na wewe usijihukumu na kujilaumu kwanini umekuwa hivyo,tambua upo katika mchakato wa kupona,hata ukishindwa kufanya wewe chukulia poa tu,baada ya mda fulani hizo taarifa hazitakuwa na nguvu na hazitafanyiwa kazi na ubongo wako,tambua kwamba ubongo unazifanyia kazi taarifa ambazo unaziwekea nguvu na zile zinazo puuzwa huachwa na kupotea kabisa

Baada ya mda ubongo wako utaweka taarifa mpya kutokana na uzoefu mpya na hatimaye shida yako itaisha kabisa,tambua kuwa itakuchukua mda kidogo kutoka lkn amini utapona,kikubwa jitahidi kutowaza kwamba utashindwa au kuhaibika,wewe usijali yaan jifanye kama hakuna kitu ambacho kimetokea,nasisitiza ukiwa na mwenza ambaye ataelewa shida yako atakusaidiq sana kwakuwa utakuwa huru naye

Hiyo shida yako ipo mawazoni kwako tu kwahiyo ukifanikiwa kuyabadilisha mawazo yako na kufikiria katika namna chanya hakika utapona na kuwa vizur kabisa

Kila la kheri
 
Asante sana bro Etugrul bey kwa ushauri wako mzuri nitafanya ulivyosema na naamini nitapona kabisa asante sana.
 
Ondoa shaka utapona,nimeshawahi kuyapitia hayo,kwahiyo naongea kwa uzoefu
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
POle sana mkuu. Njoo inbox tuongee naweza kukusaidia
 
Hauna tatizo la nguvu za kiume bali umeathirika na story za vijiweni za wapaka mikongo na wacheza porno ,pale unapomuona Mandingo anapiga show usikute ile scene wamerecord hata week nzima.
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Wacha kula vibudu mkuu.

Tafuta mrembo atakayekupa hisa za mapenzi.
 
Kwa uzoefu wangu, kushindwa kurudia round ya pili kunasababishwa na mambo yafuatayo, ambayo hayana uhusiano na upungufu wa nguvu za kiume:

1. Kuwa na mwanamke uliemzoea sana (mfano mkeo). Hii inawatokea karibu wanaume wote walio oa.

2. Kuwa na mwanamke asie na ushirikiano au asiejua cha kufanya. Baada ya round 1, inabidi mwanamke wako ndio aanze kukuhamasisha kwa njia mbalimbali ili urudi kwenye mood. Sasa ukikutana na "gogo" yeye kajilaza tu hapo kurudia gemu itakua ndoto.

3. Kuwa na mwanamke asie na mvuto. Kurudia round 2 inataka nguvu za ziada. Kama siku hiyo uko na "guluguja" mfano mwanamke ana likitambi, manyama uzembe, mamichirizi, mabakabaka, ananuka k/kikwapa/mdomo nk yaani hayupo sexy, sahau kuhusu round 2.

4. Kufanya mapenzi usiku. Kama umetoka kwenye mihangaiko ya kutwa nzima, umechoka, ukaoga vizuri ukala cha jioni halafu ukaingia kwenye gemu, lazima baada ya goli la kwanza utapitiwa na usingizi mzito na hautaamka tena mpaka kesho yake!

5. Mwanamke kuanza kukuomba hela au kukueleza matatizo yake mara baada ya round 1.
Umeeleza kikamilifu Sana mkuu
 
Back
Top Bottom