chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis