Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Nina ID MOJA....hiyo ID unayotaka kunipa ni ipi mkuu ?!!🤣🤣🤣🤣 Kumbe na hii ni ID yako. Ongeza ID nyingine ili kutetea utumbo wa mada yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina ID MOJA....hiyo ID unayotaka kunipa ni ipi mkuu ?!!🤣🤣🤣🤣 Kumbe na hii ni ID yako. Ongeza ID nyingine ili kutetea utumbo wa mada yako
Haki ipi ?!!..Lissu yuko upande wa HAKI hivyo ni vigumu sana kushindana naye kwa hoja.
Haki ipi ?!!
Bosi hiyo press ulisikiliza mwenyewe au ndo Ile ile iliyosikilizwa na wengi wetu hapa nchini?Chadema wenzangu mbona hamchangii huu uzi
Acheni matusi na dharau....fanyeni siasa za kistaarabu....vinginevyo.....tafsiri yoyote ile huwa ni sahihi katika uwanda wa siasa.......kuchagua na kuchaguliwa.
..kushiriki siasa bila kusumbuliwa na kuonewa.
Acheni matusi na dharau....fanyeni siasa za kistaarabu....vinginevyo.....tafsiri yoyote ile huwa ni sahihi katika uwanda wa siasa.....
....lini CCM imeteka mtu?!!..kwa hiyo Ccm wanaoteka na kuengua wagombea wa vyama vya upinzani ndio wastaarabu?
Hakika..Lissu yuko upande wa HAKI hivyo ni vigumu sana kushindana naye kwa hoja.
Sasa mbona unapindisha facts?Ndiyo ile ilisikilizwa na watu wengi
Mbona mwandishi wa habari mwenzake Paschal Mayala alisema Balile ndiyo aliburuzwa.Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis
Wewe ni partner wake Balile kwenye ukilaza wake, au siyo..?Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis
Sasa wewe mbona unatematema mate hovyo hapa kwa ujinga wako?Wafuasi wa Lissu wao wanaamini kupaniki kwa Lissu na kuanza kutumia lugha za kejeli ndio weledi kumbe ni ujinga. Mwalimu wangu Mzee Enea Mhando aliwahi kusema, kujenga hoja hakuhitaji kuongea kwa ukali na kutemetema mate, bali ni kusimamia kwa hoja na mantiki ya kile unachokiamini.