CHADEMA IMEBAKI NA MAVUVUZELA TU HAWAWEZI KUTOKEA SAA HIZIChadema wenzangu mbona hamchangii huu uzi
Hakika ndugu Balile kamhenyesha kamarada Tundu Lissu....Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis
Anamsifu mwandishi ambaye hajui kuwa kati ya Sheria na Katiba ni Katiba iliyo juu kuliko Sheria zote🤣🤣🤣🤣🤣Huyo anayechanganya maembe,malimao,maandazi,soksi🤣🤣🤣.
Mtu mjinga atamsifu mwandishi anayejipendekeza serikalini apate cheo.
Anapewa fact yy analeta mifano ya marekani na uingereza? Hivi utawala wakule na uungwana wao tunafanana?
Waambie wajaribu?😐Sio kweli
Wewe ni partner wake Balile kwenye ukilaza wake, au siyo..?Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis
🤣🤣🤣🤣 Acha ujingaNi muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis
Wafuasi wa Lissu wao wanaamini kupaniki kwa Lissu na kuanza kutumia lugha za kejeli ndio weledi kumbe ni ujinga. Mwalimu wangu Mzee Enea Mhando aliwahi kusema, kujenga hoja hakuhitaji kuongea kwa ukali na kutemetema mate, bali ni kusimamia kwa hoja na mantiki ya kile unachokiamini.Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu kuhamisha mjadala.
Hongera sana Deodatus Balile.
Tunahitaji waandishi wawe na fani ya uhandisi, ardhi, milango miji, kodi, na mengine kedekede. Hayo yatatufanya tununue magazeti ili tupate taarifa za kitaaluma.
Faustine Kapama wa Daily News nampa kongole, japo yeye anaripoti tu mambo ya mahakamani bila kufanya critical analysis
🤣🤣🤣🤣 Kumbe na hii ni ID yako. Ongeza ID nyingine ili kutetea utumbo wa mada yakoHakika ndugu Balile kamhenyesha kamarada Tundu Lissu....
Mapungufu yake makubwa mh.Lissu ni kujitengenezea MARKING SCHEME yake ....yaani anapenda kuulizwa MASWALI anayotaka yeye....ni kama vile kinachoulizwa basi kiwe kile kilicho kichwani mwake....
Yaani huo utoto umepost hapa ukitegemea watu wataukimbilia. Umeona hakuna wachangiaji unaishia kuupigia debe! Mjadala ule tumeusikia na alichoongea Lisu kimenyooka vibaya.Chadema wenzangu mbona hamchangii huu uzi