Inaonekana hawa wana tabia za kimalaya malaya tuu ni malaya tuu in Nyerere voice.Jambo linalotofautisha Kati ya wanyama na binadamu ni "Uhuru wa kujiamulia Mambo yake", tofauti kati ya watumwa na watwana ni "Liberty".
Ukiona unathamini Mali/biashara zaidi kiasi cha kufuata kila kinachofanywa na tajiri, wewe ni sawa na Malaya.
Kuwa huru kwa gharama yoyote Ile, wacheni kuwa wanyonge na kufuata kila wanalosema matajiri, yaani unaunga mkono nchi kwasababu ya kuogopa kupoteza biashara?, Hiyo sio Tanzania tuliyoachiwa na baba wa Taifa.
Mbona mnasupport USA ambae ni myanyasaji na mvunja haki za binadamu dunia nzima anajulikana kuanzia south amerca, africa, middle east kavuruga kote huko lakini bado mnamsupportsisi Kenya hatuezi support mnyanyasaji wa livelive!!! Akiua na kuibia watu Nchi yao nzima!!!
Nyinyi TZ tangu enzi za kitambo mmekuwa mkisupoti madikteta beberuz!! Usijifanye mmeabstain kuvote! Na mko mmefuatana na tunawajua!hiyo kuabstain inamanisha "kukataana na mambo ya Ukraine na kukubaliana na Putin!!!" Kama Belarus na china!! Dictators!
Ile siku Tundu lisu atataka kugawanya nchi ya TZ pia sisi tuta abstain kuvote in AU!!!!my niggass[emoji51][emoji51][emoji51]
For your information during cold war between the west and east Tanzania and few other countries such as Egypt and India established their own alliance iliyoitwa NAM yaani non alligned movement ambayo haisapoti upande wowote ule na zile pande zilizokuwa zikipingana waliheshimu maamuzi yetu toka awali. Kila upande ukileta agenda yake UN NAM countries walikuwa wana abstain na uamuzi huo unaheshimika na pande zote mbili.sisi Kenya hatuezi support mnyanyasaji wa livelive!!! Akiua na kuibia watu Nchi yao nzima!!!
Nyinyi TZ tangu enzi za kitambo mmekuwa mkisupoti madikteta beberuz!! Usijifanye mmeabstain kuvote! Na mko mmefuatana na tunawajua!hiyo kuabstain inamanisha "kukataana na mambo ya Ukraine na kukubaliana na Putin!!!" Kama Belarus na china!! Dictators!
Ile siku Tundu lisu atataka kugawanya nchi ya TZ pia sisi tuta abstain kuvote in AU!!!!my niggass[emoji51][emoji51][emoji51]
Dunia ipi?Urusi kwa Sasa inapitia kipindi kigumu Sana cha kutengwa na dunia.
Unapoiwekea vikwazo Russia pamoja na mapungufu yake uangalie pia vikwazo hivyo vinamuumiza nani. The common mwananchi wa Russia ndie atakaye suffer hawa viongozi vikwazo havitawaumiza sana.Acha ufala basi?
Hapa kosa liko wazi kuwa Russia ni mkosaji.
Huwezi kuipangia nchi nyingine uhuru wake na wakiamua mambo yao unawavamia.
Tulipaswa kumkemea Russia lakoni tumeogopa kwasababu tunawahitaji.
Thread inamsifia kisa mmechukua side ya Russia na unaandika hapa kuquestion mbona tumechukua side?Hivi Mkuu Kenya mbona huwa hamtumii akili hata kwa vitu vidogo tu kama hivi,
Why do u take sides on situations like these?
Ni kiherehere au ni nini?
Kenya ni nchi ya ‘Ndio boss’ yaani nimewadharau sana kwa hili. You don’t know what you stand for as a nation. Hovyo kabisa.
we understand that whatever United Kingdom says is what your poor nation will always stand for.
Ikiwa Mwalimu Julius Nyerere angeisupport Russia wakati inahujumu rights za Ukraine basi ningemdharau kabisa. Kama angesimama na Russia wakati Russia inauwa watu innocent basi nimgemdharau sana.MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.
Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Ndio mtaendelea kuwa masikini wa kutupwa kwa akili maji kama hizi. Wewe msikilize ndugu yako Geza Ulole anavyokueleza kwamba the West wana nguvu sana. Wanaweza kupitisha pipeline kwingine. Isitoshe kwa sababu Europe wameanza kukataa kutumia gas ya Russia nchi kama Germany zinatafuta mahali pengine pa kupata gas. Huu ndio wakati bora wa Tanzania kujisongeza karibu na mabeberu ili muweze ku-commercialize gas yenu. Hio gas yenu inaweza kufanya muwe tajiri ukanda huu, gdp yenu inaweza kudouble ya Kenya chini ya miaka 15.Hii ni kuionyesha dunia kwamba Tanzania ni ileile yenye misimamo yake thabiti tangu enzi za ukombozi wa bara la Africa, hatuyumbishwi Wala hatujikombi kwa wazungu.
Ndio maana Kenya ni tajiri kuwashinda. Sie tunatumia strategy. Nyie simameni na Urusi tu tuone mtafaidika na nini ukizingatia kwamba Urusi kwa sasa anapigwa na sanctions kila kona. Uchumi wa Urusi unaporomoka sasa hivi.Hivi Mkuu Kenya mbona huwa hamtumii akili hata kwa vitu vidogo tu kama hivi,
Why do u take sides on situations like these?
Ni kiherehere au ni nini?
Kenya ni nchi ya ‘Ndio boss’ yaani nimewadharau sana kwa hili. You don’t know what you stand for as a nation. Hovyo kabisa.
we understand that whatever United Kingdom says is what your poor nation will always stand for.
M*tako ya China sisi hatulambi. Usitegemee Kenya ilambe m*tako ya Mchina.Usiwe kilaza,
Watanzania wanaosoma Russia ni hundreds of them, of course wapo wanaosoma Ukraine ni wengi pia,
Abstaining is the wisest decisions, meaning that we are not taking sides, let Russia and Ukraine solve their shit out, Kwani kuna ugumu gani hapo?
No one need war madness nowadays,
Sasa kuwa na kihehehere kama Kunyaland kufuata mkumbo wa uingereza ni upumbavu mwingine,
Majority don’t know the root cause of this dispute , so as the leaders of that Banana republic of a Kunyaland.
Yaani Kenya inapopelekwa inaenda tu kama Ng’ombe,
China ni nchi ya kijamaa inayofadhili miradi karibu yote Kunya, including food donations, but still Kunya can’t make a wise decision on this sababu ya kupapatikia wazungu wa NATO.
Rubbish,kwamba Nchi nyingine inapovamiwa ndio msingi aliouweka huyo baba wa Taifa au?MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.
Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Wewe unafikiri watu ni wajinga hapa. Kila mtu anajua Russia ndio ina makosa kwa kuivamia nchi huru. Peleka propaganda yako ya ujamaa kwingine.Kushauri wakae mezani wayamalize umalaya unatoka wapi sasa hapo ,
Mbona mzee una akili ndogo sana,
Wewe nduguzo wakikosana huwezi hata kuwasuluhisha ?
Wewe acha fix, ile Resolution inakuwa na wanaoiunga mkono, wanayoipinga na ambao hawapingi wala hawaungi mkono. Tanzania ilichokifanya ni kutoku side na upande wowote.Hii maana yake hukubaliani na "Motion on the table", agenda iliyowakilishwa ni kupata kura za ndio ili kulaani Urusi, Kitendo cha kutopiga kura ni kutaka kuhakikisha kwamba 2/3 ya kura za ndio hazipatikani. The smart way of saying No"
Inawezekana katika wakati flani katika historia hawa ndio walikuwa marafiki wazuri wa Tanzania. Jambo ambalo ni lazima tulikubali ni kuwa nchi za kijamaa hazina historia nzuri wala uzingatiaji wa haki za binadamu. Ukiangalia mfumo wa uongozi wa Urusi, China , Cuba na nchi nyingine za kijamaa,ni wazi hauvutii kwa watu wengi walio wastaarabu.MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.
Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
Hahaha bwana weee hawashindwi hawa watu hata kulipitisha mbinguni 😂😂😂The West wana nguvu sasa, bomba la Mafuta Ugnada linaweza kupita kwingine!
Tanzania ame abstain,, vilevile Elitrea, South Africa, Uganda n.k. sio sisi tu tumeamua kumute. sio kitu cha ajabu hicho. wamagaribi wanaipenda kenya kuliko sisi, tukienda kichwakichwa tukiamini wanatupenda watatusaidia tutakuwa tunajidanganya. bora tuonyeshe msimamo wetu ili wao waamue kama wanakuja kwetu kwa adabu au wanaendelea kututenga. china ina faida kwetu kuliko wamagaribi, russia hana faida sana lakini anaweza kutuuzia silaha, wamagaribi hawawezi.MY TAKE; Hii ndiyo misingi imara iliyojengwa na baba wa Taifa pendwa Mwl; Julius Nyerere.
Urusi, China, Cuba, na Tanzania zimekua pamoja katika kipindi chote kigumu enzi za ukoloni, nchi nyingi za Magharibi zilitukimbia na hata kutuwekea vikwazo vya biashara kwasababu ya mahusiano yetu na mataifa haya ya kijamaa, Hawa ndio hawakututupa wakati wote huo, haifai kukurupuka na kuwaacha katika kipindi hiki kigumu kwao, Hongera Sana Tanzani kwa kutopiga kura.
sisi Kenya hatuezi support mnyanyasaji wa livelive!!! Akiua na kuibia watu Nchi yao nzima!!!
Nyinyi TZ tangu enzi za kitambo mmekuwa mkisupoti madikteta beberuz!! Usijifanye mmeabstain kuvote! Na mko mmefuatana na tunawajua!hiyo kuabstain inamanisha "kukataana na mambo ya Ukraine na kukubaliana na Putin!!!" Kama Belarus na china!! Dictators!
Ile siku Tundu lisu atataka kugawanya nchi ya TZ pia sisi tuta abstain kuvote in AU!!!!my niggass😬😬😬
Unapoiwekea vikwazo Russia pamoja na mapungufu yake uangalie pia vikwazo hivyo vinamuumiza nani. The common mwananchi wa Russia ndie atakaye suffer hawa viongozi vikwazo havitawaumiza sana.