UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi


sisi ni NAM. hatuko upande wowote. Hatufurahii kuhujumiwa kwa yeyote. Huo ndiyo msimamo tangu mwanzo. Bora tukawa masikini, ambaye utu wake unaheshimiwa. Kuliko kuwa tajiri ambaye hana utu wala thamani. Siku zote tumetanguliza UTU kuliko VITU. Ndiyo maana waTanzania ni waTanzania. Tuko kama tulivyo.
 
Russia naomba ifinywe m*akende uchumi wake ukufe kabisa.
 
Yaani urusi na China wake wasaidie africa kujikomboa unaona haitoshi kwa Jambo dogo tu la kumuweka obama kuwa president US. Huku ukisahau Jim crows law yakuwa bagua watu weusi nchi mmarekani, kunyoya na kuvamia nchi za afrika mfano Libya. Kweli we jamaa akili kisoda



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Muandiko wako Ni wakishetani shetani yaani tuungane na shetani wa magharibi kisa Mali atulette mambo yake ya hovyohovyo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nani amesema? kupitisha kenya ni gharama kubwa na usalama hafifu ! Na hio gesi wanayochimba Shell na equinor Lindi/ Mtwara wataiacha wakati ulaya wanahitaji gesi sana sasahivi kuliko muda mungine wowote
Mbona waafrika tusichimbe sisi wenyewe?
 
Kama utakumbuka miaka ya nyuma mara tu baada ya Tanzania kupata uhuru, West Gernamy ilimlazimisha Mwalimu Nyerere kufunga balozi za East Germany na kuvunja uhusiano na East Germany, badala yake Nyerere alifunga ubalozi wa West Germany na kurudisha pesa zote za misaada zilizotolewa na West Germany kwa Tanzania(Kamwe hatuwezi kuuza Utu na utaifa wetu kwa vipande vya fedha).

Tofauti Kati ya Kenya na Tanzania ipo wazi kabisa, Kenya mnaabudu Mali, mpo tayari kuuza Utu wenu kwa ajili ya oesa6, ndio sababu mlikataa kushiriki ukombozi wa nchi za Afrika kwa kuhikomba kwa wazungu ili mpate pesa, Leo hii wazungu wamewaacha hawana habari na ninyi mnaanza kuhikomba kwa wachina, nini hamna heshima hapa Afrika kutokana na tabia yenu ya kimalayamalaya
 
Rubbish,kwamba Nchi nyingine inapovamiwa ndio msingi aliouweka huyo baba wa Taifa au?

Ma Nchi ya kijamaa ni takataka kabisa.
Leo hii hizo nchi za kijamaa ndizo zinazowapa mikopo na kuwajengea kila kitu hapo Kenya, bila chakula cha wachina mngeendelea kufa Kama wadudu, stupid Kunyans.
 
Leo hii hizo nchi za kijamaa ndizo zinazowapa mikopo na kuwajengea kila kitu hapo Kenya, bila chakula cha wachina mngeendelea kufa Kama wadudu, stupid Kunyans.
hatulambigi matakošŸ‘Œukisaidia mtu sio lazima unashinda ukimkaliašŸ’©eti tufuate matako yako!

Kwanza leo ni ile siku nimefurahiašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Russian Ruble $ is becoming weaker, sasa inchi yao kubwa šŸ’©
Kutoka
1dolar=75russian ruble
Mpaka 1dollar=109 russian ruble
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸŒ‹šŸŒ‹šŸ˜‚nabadošŸ”„šŸ”„another Iraq is in the formingšŸ’©
 
Mada ya hii thread ..Ina husu Tanzania kuto piga kura . Naona ni vizuri ihamishwe kutoka Kenyan section.
 
Ninyi ndio mnalamba mavi ya wazungu, ndio sababu mlishindwa kuwasaidia waafrika waliokua wananyanyaswa na mkoloni kwa kuogopa kukosa misaada ya wazungu, wajinga Sana ninyi wakenya.
 
Ila mkenya una hoja fln Seema unafiki pia mmezidi huyu Obama ambaye Ana vina Saba na wakenya kawasaidia nn ktk utawala wake gdp yenu ilidouble Kam mlivyokuwa mnafikiriaa
 
Uko sahih San mmaeekana kweli hakatutupa kwa muda mrefru tuko nae na mashirika yake kama taciads .usaiad na feed the future hayo yote anafanya mmarekani na taasis zake Ila mm sioni urusi katk Kaz zake hata za kuitafiti hap tz Soo tunapazwa kuwapa mkono USA kwa kile anatufanyia Kama. Ulivyo sema madawa na nk

Kwa urusi Ni kwamba hata huo msaada wa kielimu wanaotupa ss tz hauna maana mwalimu wang mmoja alisoma Russian alirejea akiwa Ni mlevi kupindukia alikuwa mwalimu wa hesabu pale iaa
Hvyo nakubalina. Na wew kuwa Ni vyema tuka allied na USA kuliko hao warusi
 
Muandiko wako Ni wakishetani shetani yaani tuungane na shetani wa magharibi kisa Mali atulette mambo yake ya hovyohovyo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Babu mwandiko hausaidi kitu Soma content alichokisema huyu jamaa wa kenya ww anagika na miandiko tu Bila kujuwa kinachoendeleaa pumbafu kbsa
 
Mbna hata na ss tunajikomba na Hawa wazungu kwa kila upande hutuna tofauti nao wao wako very strategical kuliko ss
Ukisema hatujikombi unakozea sna jus tu rais wetu SSH alikuwepo huko kupeleka bakuli hila hakaenda Russian ujiulizi kwann hakwenda

Mm Wala sioni hatari ya Kenya katk kujikomba kwake wtz wanajionaga makausu huku anakufa na njaa mwalimu alitufanganya Sana tu
 
Mbona unaingiza USA katika mgogoro wa Urusi na Ukraine?, Ukiinga USA upande wa Ukraine, basi unapaswa kuingiza China upande wa Urusi
 
Ninyi ndio mnalamba mavi ya wazungu, ndio sababu mlishindwa kuwasaidia waafrika waliokua wananyanyaswa na mkoloni kwa kuogopa kukosa misaada ya wazungu, wajinga Sana ninyi wakenya.
sjui mambo hio umesemašŸ˜•lakini kulingana na nchi kama ya TZ ya kitambo full ujamaa heri kukaa mbali,nyinyi mlilamba matako ya mchina,russia na Ya Hitler,mpaka wa leo mnalambaga matako lakini mumepunguza kasi kidogošŸ‘Œwe can see a change in ujamaa puppets!!
 
Alipompiga Iraq na Libya bila sababu yoyote, hakuna aliye muwekea vikwazo. Sasa mwingine anapiga, anaanza kuwakusanya wengine wamuwekee vikwazo.
Alafu hawa beberu wa FIFA wanafungia serikali zinazoingilia maswala ya mpira sasa mbona wameifungia Russia nao wanapendelea serikali za magharibi,hakuna usawa Mpira usichanganywe na siasa
 
Kati ya Tanzania na Kenya ni nchi gani iliyowasaliti waafrika kipindi cha ukoloni na kuwasaidia wazungu kuwakandamiza waafrika?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…