Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Iko hivi biblia ni mjumuisho wa vitabu mbali mbali ambavyo vimeandikwa na waandishi mbali mbali na wengine hawajulikaniSafina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu.
Katika milima mirefu mashariki mwa Uturuki, kuna kundi la watafiti linaloongozwa na mtafiti mahiri Andrew Jones, kupitia mradi wa Noah’s Ark Scans. Walichokifichua kinastaajabisha na ni pigo kwa wale wanaodai kuwa Biblia ni mkusanyiko tu wa hadithi za kutungwa na watu.
Hivi majuzi watafiti hao wamegundua umbo la meli katika milima hiyo. Habari ya ugunduzi wa Safina ilianza kusikika mnamo mwaka 1959, wakati kapteni wa jeshi la Uturuki, Ilhan Durupınar, alipoona kitu cha ajabu chenye umbo la meli kikiwa kimezama ardhini. Kitu hicho kina urefu wa mikono ya kifalme ya Wamisri 300—sawa kabisa na vipimo vilivyoandikwa katika Mwanzo 6:15.
Licha ya habari hiyo kuwavutia watu wengi mwanzoni, utafiti wa eneo hilo ulisahaulika kwa muda mrefu. Lakini sasa umerudi katika vichwa vya habari tena kutokana na teknolojia mpya na utafiti wa kisayansi wa kisasa unaounga mkono habari hiyo ya Biblia.
Jones na timu yake wanatumia vifaa vya radar inayochunguza ardhini (GPR) na tomografia ya umeme (ERT) ili kuangalia vilivyopo chini ya ardhi bila kuchimba. Matokeo yao yameonyesha mambo yafuatayo: miundo ya ndani yenye pembe, ambayo ni kawaida kwa vyombo vya majini, shimo kuu la kati linalopita katika eneo lote, likiwa na eneo tupu katikati. Na sampuli za udongo kutoka ndani ya eneo hilo zinaonyesha rangi na muundo tofauti, dalili ya uwepo wa kitu kisicho cha asili.
“Matokeo haya yamethibitishwa na wataalamu wa jiolojia wasiohusiana kabisa na dini,” amesema Jones. “Tunawapa takwimu zetu bila kuchujwa, na wao wenyewe wanathibitisha kwamba kuna kitu cha kipekee chini ya ardhi.”
Ugunduzi huu ni uthibitisho wa wazi kuwa habari zilizoandikwa kwenye Biblia ni za kweli. Kwa vizazi vingi, wapinzani wa imani ya Kikristo wamekuwa wakidai kuwa Biblia ni ya kubuni. Lakini sasa katika milima hiyo kuna eneo lenye vipimo sawa na vile vya maandiko. Safina ipo katika eneo sahihi la kijiografia na inaonyesha sifa za ndani zinazolingana na meli hiyo ya kale.
Huu sio ugunduzi wa kawaida. Ni changamoto kwa dunia ya kisasa. Biblia, kitabu kilichodharauliwa na wengi, sasa kinaanza kuthibitishwa na sayansi ya kisasa. Atheists mpooo?
Hahaa, ulokole haupimwi kwa njia hiyo. Soma uzi huu ujue nini maana ya ulokoleTatizo nilipogundua ww ni chawa wa CCM nikajua tu huna ulokole wwte
Ukitaka kuyajua ni yale ambayo yanamtambua Yesu kama mtumishi wa Mungu au Mtume wa MunguYataje mabaki hayo
Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu.
Katika milima mirefu mashariki mwa Uturuki, kuna kundi la watafiti linaloongozwa na mtafiti mahiri Andrew Jones, kupitia mradi wa Noah’s Ark Scans. Walichokifichua kinastaajabisha na ni pigo kwa wale wanaodai kuwa Biblia ni mkusanyiko tu wa hadithi za kutungwa na watu.
Hivi majuzi watafiti hao wamegundua umbo la meli katika milima hiyo. Habari ya ugunduzi wa Safina ilianza kusikika mnamo mwaka 1959, wakati kapteni wa jeshi la Uturuki, Ilhan Durupınar, alipoona kitu cha ajabu chenye umbo la meli kikiwa kimezama ardhini. Kitu hicho kina urefu wa mikono ya kifalme ya Wamisri 300—sawa kabisa na vipimo vilivyoandikwa katika Mwanzo 6:15.
Licha ya habari hiyo kuwavutia watu wengi mwanzoni, utafiti wa eneo hilo ulisahaulika kwa muda mrefu. Lakini sasa umerudi katika vichwa vya habari tena kutokana na teknolojia mpya na utafiti wa kisayansi wa kisasa unaounga mkono habari hiyo ya Biblia.
Jones na timu yake wanatumia vifaa vya radar inayochunguza ardhini (GPR) na tomografia ya umeme (ERT) ili kuangalia vilivyopo chini ya ardhi bila kuchimba. Matokeo yao yameonyesha mambo yafuatayo: miundo ya ndani yenye pembe, ambayo ni kawaida kwa vyombo vya majini, shimo kuu la kati linalopita katika eneo lote, likiwa na eneo tupu katikati. Na sampuli za udongo kutoka ndani ya eneo hilo zinaonyesha rangi na muundo tofauti, dalili ya uwepo wa kitu kisicho cha asili.
“Matokeo haya yamethibitishwa na wataalamu wa jiolojia wasiohusiana kabisa na dini,” amesema Jones. “Tunawapa takwimu zetu bila kuchujwa, na wao wenyewe wanathibitisha kwamba kuna kitu cha kipekee chini ya ardhi.”
Ugunduzi huu ni uthibitisho wa wazi kuwa habari zilizoandikwa kwenye Biblia ni za kweli. Kwa vizazi vingi, wapinzani wa imani ya Kikristo wamekuwa wakidai kuwa Biblia ni ya kubuni. Lakini sasa katika milima hiyo kuna eneo lenye vipimo sawa na vile vya maandiko. Safina ipo katika eneo sahihi la kijiografia na inaonyesha sifa za ndani zinazolingana na meli hiyo ya kale.
Huu sio ugunduzi wa kawaida. Ni changamoto kwa dunia ya kisasa. Biblia, kitabu kilichodharauliwa na wengi, sasa kinaanza kuthibitishwa na sayansi ya kisasa. Atheists mpooo?
Hii ni zaidi ya ComedyPorojo tu hizo
So what???!!!Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu.
Katika milima mirefu mashariki mwa Uturuki, kuna kundi la watafiti linaloongozwa na mtafiti mahiri Andrew Jones, kupitia mradi wa Noah’s Ark Scans. Walichokifichua kinastaajabisha na ni pigo kwa wale wanaodai kuwa Biblia ni mkusanyiko tu wa hadithi za kutungwa na watu.
Hivi majuzi watafiti hao wamegundua umbo la meli katika milima hiyo. Habari ya ugunduzi wa Safina ilianza kusikika mnamo mwaka 1959, wakati kapteni wa jeshi la Uturuki, Ilhan Durupınar, alipoona kitu cha ajabu chenye umbo la meli kikiwa kimezama ardhini. Kitu hicho kina urefu wa mikono ya kifalme ya Wamisri 300—sawa kabisa na vipimo vilivyoandikwa katika Mwanzo 6:15.
Licha ya habari hiyo kuwavutia watu wengi mwanzoni, utafiti wa eneo hilo ulisahaulika kwa muda mrefu. Lakini sasa umerudi katika vichwa vya habari tena kutokana na teknolojia mpya na utafiti wa kisayansi wa kisasa unaounga mkono habari hiyo ya Biblia.
Jones na timu yake wanatumia vifaa vya radar inayochunguza ardhini (GPR) na tomografia ya umeme (ERT) ili kuangalia vilivyopo chini ya ardhi bila kuchimba. Matokeo yao yameonyesha mambo yafuatayo: miundo ya ndani yenye pembe, ambayo ni kawaida kwa vyombo vya majini, shimo kuu la kati linalopita katika eneo lote, likiwa na eneo tupu katikati. Na sampuli za udongo kutoka ndani ya eneo hilo zinaonyesha rangi na muundo tofauti, dalili ya uwepo wa kitu kisicho cha asili.
“Matokeo haya yamethibitishwa na wataalamu wa jiolojia wasiohusiana kabisa na dini,” amesema Jones. “Tunawapa takwimu zetu bila kuchujwa, na wao wenyewe wanathibitisha kwamba kuna kitu cha kipekee chini ya ardhi.”
Ugunduzi huu ni uthibitisho wa wazi kuwa habari zilizoandikwa kwenye Biblia ni za kweli. Kwa vizazi vingi, wapinzani wa imani ya Kikristo wamekuwa wakidai kuwa Biblia ni ya kubuni. Lakini sasa katika milima hiyo kuna eneo lenye vipimo sawa na vile vya maandiko. Safina ipo katika eneo sahihi la kijiografia na inaonyesha sifa za ndani zinazolingana na meli hiyo ya kale.
Huu sio ugunduzi wa kawaida. Ni changamoto kwa dunia ya kisasa. Biblia, kitabu kilichodharauliwa na wengi, sasa kinaanza kuthibitishwa na sayansi ya kisasa. Atheists mpooo?
Kwan wao wameanza kufanya tafiti ili wawapeni mikopo..? Pambaneni na majizi yenu. Tuna jiibia wemyewe tunakataa akili nyimgi na kulazimisha akili finyu zitawaleSo what???!!!
Inatusaidia vipi sisi ambao tunahitaji ukombozi wa kiuchumi na kuondokana na dhana ya utegemezi wa mikopo na ruzuku kutoka mataifa ya kigeni?
Hawa dawa yao nikuwapiga injili wala usicheke nao kwa sayansi.Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya kisayansi yameanza kugeuza mtazamo wa ulimwengu kuhusu Safina ya Nuhu.
Katika milima mirefu mashariki mwa Uturuki, kuna kundi la watafiti linaloongozwa na mtafiti mahiri Andrew Jones, kupitia mradi wa Noah’s Ark Scans. Walichokifichua kinastaajabisha na ni pigo kwa wale wanaodai kuwa Biblia ni mkusanyiko tu wa hadithi za kutungwa na watu.
Hivi majuzi watafiti hao wamegundua umbo la meli katika milima hiyo. Habari ya ugunduzi wa Safina ilianza kusikika mnamo mwaka 1959, wakati kapteni wa jeshi la Uturuki, Ilhan Durupınar, alipoona kitu cha ajabu chenye umbo la meli kikiwa kimezama ardhini. Kitu hicho kina urefu wa mikono ya kifalme ya Wamisri 300—sawa kabisa na vipimo vilivyoandikwa katika Mwanzo 6:15.
Licha ya habari hiyo kuwavutia watu wengi mwanzoni, utafiti wa eneo hilo ulisahaulika kwa muda mrefu. Lakini sasa umerudi katika vichwa vya habari tena kutokana na teknolojia mpya na utafiti wa kisayansi wa kisasa unaounga mkono habari hiyo ya Biblia.
Jones na timu yake wanatumia vifaa vya radar inayochunguza ardhini (GPR) na tomografia ya umeme (ERT) ili kuangalia vilivyopo chini ya ardhi bila kuchimba. Matokeo yao yameonyesha mambo yafuatayo: miundo ya ndani yenye pembe, ambayo ni kawaida kwa vyombo vya majini, shimo kuu la kati linalopita katika eneo lote, likiwa na eneo tupu katikati. Na sampuli za udongo kutoka ndani ya eneo hilo zinaonyesha rangi na muundo tofauti, dalili ya uwepo wa kitu kisicho cha asili.
“Matokeo haya yamethibitishwa na wataalamu wa jiolojia wasiohusiana kabisa na dini,” amesema Jones. “Tunawapa takwimu zetu bila kuchujwa, na wao wenyewe wanathibitisha kwamba kuna kitu cha kipekee chini ya ardhi.”
Ugunduzi huu ni uthibitisho wa wazi kuwa habari zilizoandikwa kwenye Biblia ni za kweli. Kwa vizazi vingi, wapinzani wa imani ya Kikristo wamekuwa wakidai kuwa Biblia ni ya kubuni. Lakini sasa katika milima hiyo kuna eneo lenye vipimo sawa na vile vya maandiko. Safina ipo katika eneo sahihi la kijiografia na inaonyesha sifa za ndani zinazolingana na meli hiyo ya kale.
Huu sio ugunduzi wa kawaida. Ni changamoto kwa dunia ya kisasa. Biblia, kitabu kilichodharauliwa na wengi, sasa kinaanza kuthibitishwa na sayansi ya kisasa. Atheists mpooo?
ministrantSo what???!!!
Inatusaidia vipi sisi ambao tunahitaji ukombozi wa kiuchumi na kuondokana na dhana ya utegemezi wa mikopo na ruzuku kutoka mataifa ya kigeni?
Asante Meneja Wa MakampuniHawa dawa yao nikuwapiga injili wala usicheke nao kwa sayansi.
Acha kuwaza ugali sana kaka.Kuna mtu mwenye akili zake timamu anaweza kuamini ujinga huu? Kwani, wakiingundua, inatuongezea ugali mezani?