Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Kasome bobilia itakupa jibu Mungu habadiliki we unaonyesha mkanisa koko tu unaimbishwa nyimba za hallelujah basi.Hakuna kisichowezekana Kwa Mungu. Ndo maana Mungu akiamua anaweza kujibadilisha akawa kama mwanadamu akanya kala kaalia yötä hayo kwake simple Tu.
Je kobaz Moto hapo?
adriz Adiosamigo Covax
AdiosamigoMtoa mada toka lini kulikuwa. A Nuhu wa Bibilia hi kali aisay
Mimi ni bibi arusi wa YesuHujambo mke wa secretarybird ?
Ahsante...Tangu zamani wabishi walikuwepo. Sema tu wewe ni msomaji zaidi.
Hiyo Safina ilikuwa kubwa. Kwa vipimo vya sasa, ilikuwa na Urefu: ≈ mita 137, Upana: ≈ mita 23 na Kimo: ≈ mita 14Simba na chui waliwezaje kuishi na swala , mbogo ,punda milia na nyati kwa siku 40 bila kuwala?
Au waligeuzwa rastafarians hawali nyama?
Je Mungu Hana huwezo wa kujibadilisha mwanadamu? Je Mungu hana uwezo wakujifanya kunya?Kasome bobilia itakupa jibu .ungu habadiliki we unaonyesha mkanisa koko tu unaimbishwa nyimba za hallelujah basi.
Mtoa mada toka lini kulikuwa. A Nuhu wa Bibilia hi kali aisay ukanisa ni noma ya vipindi kabisa.
Swali zuri sana! Kwa mujibu wa habari hiyo, gharika ilifunika dunia nzima kwa maji (Mwanzo 7:19-20), lakini viumbe wa majini kama samaki, papa, na dolphins hawakuhitajika kubebwa ndani ya safina. Sababu ni kwamba maji ndiyo mazingira yao ya asili, hivyo waliendelea kuishi ndani ya maji hata wakati wa gharika. Safina ilibeba: Viumbe wa nchi kavu (Mwanzo 6:19-20), ndege wa angani na binadamu (Nuhu na familia yake).Je kwenye safina viumbe wa majini kama samaki, papa na dolfins walibebwa au mafuriko hayakuwahusu?
Biblia inaeleza wanyama waliobebwa katika safina walikuwa “kila mnyama kwa jinsi yake” (Mwanzo 6:20), na waliletwa wawili wawili, yaani dume na jike kutoka kila aina ya mnyama. Hivyo ni wazi Dino nao walibebwa.Je Dinosaurs (🦖 🦕) pia walibebwa kwenye safina?
Nikimwona nitamkataza kuwa mlokole.Hujambo mke wa secretarybird ?
Wewe Vishu Mtata nani alikuambia sayansi na Biblia ni maadui? Imani na sayansi havipaswi kuwa maadui. Sayansi inaeleza mbinu za kuelewa mambo yanavyofanya kazi, na Biblia inaeleza kwa nini mambo hayo yapo. Imani yangu ni msingi, na sayansi ni toolbox yangu! Simple like that!Sasa unaamini sayansi au biblia?
Vipi kama hao wanasayansi wangelikuja na majibu tofauti na hayo, ungekua tayari kubadili mtizamo??
Au kwasababu majibu ya wanasayansi yameendana na imani yako basi umeyapitisha bila kupinga??
Cc DR Mambo Jambo