Una kumbu kumbu zipi juu ya hii kitu namna ilivyopelekesha mtaa wakati fulani hivi😁

Una kumbu kumbu zipi juu ya hii kitu namna ilivyopelekesha mtaa wakati fulani hivi😁

TheGreatest Of AllTime

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
207
Reaction score
679
20260611_154920.jpg
 
😁

Dah

Nakumbuka 2012 nilikuwa na demu wa kihaya ana Makebo makubwa aisee, alikuwaga ana piga hivi vitano namchukulia na kitimoto anapiga, ndo akili yake ikae sawa, baada ya hapo mimi ni mwendo wa kucheza ki- adriz chake.

Maisha aisee😁
Unasema, kuchezea kinini chake?
😃😄😁😂🤣
 
Mi ilikua Bapa tu.na vischana+sm
Na hapo Mikasa haijasoma.
Vinginevyo ni Gordon Gin&Tonic+ Benson&hedges🤞
 
Kuna ile ilikua inaitwa toto pack...ilikua balaa
 
Back
Top Bottom