binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
We usitake kunichekesha! π au wafupi walikuwa wanaonekana underage? π (wafupi wenzangu mnisamehe)Jamaa alifika sehemu watu wafupi akawa hataki waingie kwny club yake ππ,ukiwa mfupi tu baunsa anazuia chap kuingia.
Ulichoandika kinawezekana ila kama ni starehe ya night clubs kama mleta mada anavyosema in 20s sio lazima iwe ulikuwa wa kishua mara nyingi ni kampani uliyo nayo inachangia sana hata watoto wa mbwa utawakuta kingine ni mtu mwenyewe wengine hawana hobby ya night life hata kama kibunda kipoWengi waliofanya starehe at 20s ni watoto wa kishua au wale waliopata connection za kazi nzuri mapema ila tofauti na hapo acha waliojipata wenyewe wale bata at 30s
HATAAAA UELEWEKI ....Jamaa una roho ngumu,
sana,mpk Meek Mill ukamphirah?
ππ hio wamefanya sana,ikitokea ukiwa mfupi wakahisi una kibunda unaombwa ID wathibitishe umri wako.Wafupi walikua wanawasha Moto hatari pale πWe usitake kunichekesha! π au wafupi walikuwa wanaonekana underage? π (wafupi wenzangu mnisamehe)
Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?
Hata vitabu vinasema asiyefanya kazi na asile watu wa hivyo ndio wanaokwamisha maendeleo ya nchi na kwa wenzetu idadi yao siyo kubwa kama ya huku kwetu, haiwezekani nchi iwe na watu million 60 halafu tuseme labda 40 kati ya hao ni masikini na wengine tegemezi ilihali hawana matatizo yoyote ya kimwili wala kiakili, tukisema kila mtu aachwe tu aishi maisha yake basi tutatengeneza kizazi cha wajinga mwisho wa siku hatutafika popoteJamii zote, mataifa yote, rika zote, watu wa jamii hiyo huwa wapo tu, hata nchi zilizoendelea sana hawawezi kukosekana. Acha watu waishi maisha yao kama hayakubughudhi. Kama pesa huombwi wewe, acha maisha yaendelee. Ujinga ni kumpangia mtu mzima maisha yake! Let them live. 100 years to come nobody will remember you ever existed.
Kaa tulia tumeingia club na 40sUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Sasa hapo kati ya mimi na wewe nani kawaza huo ujinga maana mimi nilichoandika hapo ni kiswahili cha kawaida tu, ila wewe kwa sababu unapenda hayo mambo ndio maana umeyawaza kwahiyo si ajabu wewe ndiye umewahi kufanyiwa hayo utotoni, by the way wewe mbona uliassume kwamba mimi nilisema niliyoyasema sababu nimechoka kupigika huku nikiwaona wengine wakiteleza sijui na blah blah zingine wewe hujioni kama una tatizo hapoDuh mara umeshawaza masuala ya kutelezewa kwa Nini akili Yako imekutuma huko haraka au Kuna namna umewahi philwa udogoni!?anyway pole blood ni life
Kanyaga shingo bado linapumua hiloHivi unaelewa hata maana ya hiyo Life begins at 40 au ndio mmeitafutia maana yenu ili mjifariji, hiyo inamaanisha huo ni umri wa kula matunda ya mapambano uliyoyafanya ukiwa kijana na siyo eti ukifika huo umri ndio uanze kujitafuta, huko kwa wenzetu mtoto wa miaka 16 analilia kuondoka kwa wazazi wake kuanza maisha yake ila huku kwetu jitu la miaka 30 linawaza uchawa na kutaka pesa za bure bure tu
Mijitu ya hovyo sanaa, na ndio yanaongoza kwa kufia kwenye vinena vya mabintiUnakuta zee Zima , nyama zimeanza kuachana na mifupa, nywele zimeota mvi ila amepaka rangi kuzificha , limevaa eti kaptula lipo huko club linaruka ruka
Tulisha waambia mashabiki wa Simba mko very frustrated.. mwenzenu ndo huyoo...π₯΄π₯΄π₯΄Hujioni fala kupangia watu maisha? Stop being primitive
Hakuna kiswahili Cha kawaida master punguza hisia za kuphilwa kwanza kwa namna unafatilia maisha ya wengine inaonesha unashida madameSasa hapo kati ya mimi na wewe nani kawaza huo ujinga maana mimi nilichoandika hapo ni kiswahili cha kawaida tu, ila wewe kwa sababu unapenda hayo mambo ndio maana umeyawaza kwahiyo si ajabu wewe ndiye umewahi kufanyiwa hayo utotoni, by the way wewe mbona uliassume kwamba mimi nilisema niliyoyasema sababu nimechoka kupigika huku nikiwaona wengine wakiteleza sijui na blah blah zingine wewe hujioni kama una tatizo hapo
Vibabu vinawazidi kete vijana? πππUna miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Kwahiyo mnataka twende Sikinde na Msondo ngoma?Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Hacha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Umesema kweliMijitu ya hovyo sanaa, na ndio yanaongoza kwa kufia kwenye vinena vya mabinti