AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Akili ndogo hiiUkichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
Singumzii ubinafsi bali upotevu wa mali baada ya mtafutaji kufa...je mlishawai kujua haya maeneo na majengo yanayouzwa kwa mabilion hapa mjini 80% wahusika na walioyatafuta wamekufa na waendelezaji wanaona bora kuuza na kugawana pesa sasa kama unatafuta alafu kizaz kinakuja kupoteza sio hasara?
Kuna jamaa Kibaha kaanzisha mradi wa million 400+ hivi.Akili ndogo hii
Watu wanaangalia generational wealth
Una akili fipu sana sana wewe. Omba Mungu upate exposure kwa kusafiri na kuishi na jamii nyingine. Ila sikulaumu sana kwa sababu wewe ni muhanga wa elimu na ulimbukeni kama walivyo wabongo wengi. Mawazo mgando kabisa.Au ndio utakatishaji wenyewe wa fedha? Na hapa dar ndio panaongoza kwa maeneo na majengo kuuzwa kwa mamilioni na mabilio na wahusika 85% ni warithi na watu walioshindwa kuendeleza maeneo hayo
Kwhyo ukiwa na miaka 50 ndy huruhisiwi kuwekeza?Tuzungumzia wabongo weusi tuachane na wahindi,wazungu na waarabu hao hawafanani na sisi weusi