Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

inawezekana kama haujafika miaka 50 ukawa na hizo m500 au B's
Labda za kurithi au kufanya dili haramu ila unafanya kazi serikalini mshahara hauvuki 10M kwa Mwezi kabla ya miaka 50 una B kadhaa hio labda ukamuulize vizuri Babu yako kuna kipande ameacha kukusimulia, ukiniambia umevunja Bank ukafanikiwa kukimbia na pesa za kutoka katika mgao na baada ya mgao sasa unamiliki 500M mpaka B kadhaa na una miaka chini ya 30 hapo sawa nitakuamini
 
Mkuu embu rudia kusoma comment yangu inaonekana hukuelewa.
 
Shilingi 500,000,000 unaweza kufungua kiwanda kidogo cha Maji kama ilivyo GSM drinking water

Kikakuzalishia sio chini ya shilingi 16,000,000 kwa siku, ambazo ni sawa na shilingi 480,000,000 kwa mwezi

Ama ukasema uwekeze kwenye bond, ukapata shilingi 5,000,000 Kila mwezi ambazo ni sawa na shilingi 60,000,000 kwa mwaka ama shilingi 300,000,000 baada ya miaka 5

Maisha ni kuchagua
 
Nimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.

Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?

Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Hizi wanafanya watu wenye hela nyingi kama kina jk, Mbowe, wasira, Wafunge na mawaziri, na wakurugenzi, hawamtaji faida humo ya kula
 
Hongera kwa hilo,
Je na wewe umeandaa urithi wa vizazi vyako vijavyo au una mawazo tuu ila hujatekeleza ?

Maana wanasema charity begins at home,hata kama unasema huna akili za hovyo kama hizo,ila kama hujaweka hayo mazingira ya vizazi vijavyo ina maanisha na wewe ni walewale,hivyo huna haja ya kumlaumu mleta Habari.
Naam nilianza kuandaa urithi wa vizazi vyangu tangu day 1 na ninaendelea kufanya hivyo.
 
Nimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.

Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?

Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Kwa akili kama hizi tutaendelea kurithisha umaskini kwa vizazi vyetu. Huu ni ubinafsi uliokithiri.
 
Back
Top Bottom