Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

Ukichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
Watoto,wajukuu,vitukuu,ndugu jamaa na majirani wao🤸
 
Je umasikini ni laana? Mbona comments nyingi ni za kipumbuvu mno? Vipi inferiority complex je ni laana pia? Kwanini wabantu humu wanajihesabu kama ni viumbe ambao hawapaswi kuwa binadamu? Je kuwa wabantu ni sawa tukisema ni mifugo iliyo advanced kidogo au hata labda ni mifugo kamili?
 
Ukichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
Mkuu inawezekana kama haujafika miaka 50 ukawa na hizo m500 au B's usiwaelewe. Ni kama kipindi kile upo 10+ ulipokuwa unaona utu uzima ni uhuru usio na mipaka.
 
Uwekezaji kama huo sidhani kama watu wanafanyaga kwa ajili ya kuja kupata faida ya pesa, ila ni katika kuongeza umiliki wa mali za thamani.
 
Akili ndogo shida saana,

Unajiwazia wewe Tu, unashindwa kujua kuwa Ajira ni namna ya kurudiaha wealth yako au kipawa chako kwa jamii,

Unashindwa kujua vizazi vyako vinahitajo ukumbusho wa uwezo na akili ya baba/babu yao

Unashindwa kujua, vizazi vyako inabidi viandaliwe kiakili, saikolojia na uwezo wa kufanya kazi na kumiliko Mali
 
CCM imeangamiza hili taifa,... Tazama haya ni mawazo ya mtu mzima
Ukichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
 
Kwani sisi Waafrika tumerogwa na nani inabidi tuanze kuwaandalia watoto muendelezo mzuri
Sio ile baba akifa na mali zinakufa
 
Nimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.

Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?

Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Hii nayo ni maajabu
 
Hata ukiweza kupanda miti wakati una miaka 70 panda,. Usiwe mbinafsi
 
Akili ndogo hii

Watu wanaangalia generational wealth
Hakuna mtanzania yoyote hata mmoja anayeangalia utajiri wa vizazi vijavyo. Ndo maana hata serikalini afisa anayekaribia kustaafu hataki kujiusisha na kunzisja miradi mipya hata ka ma ni kea madlahi ya serikali.
 
Wazo dumavu

Usisemee watu
 
Kushindwa kuendeleza utajiri wa familia ni matokeo ya malezi mabaya ya wanafamilia kwa watoto wao kuhusu uwekezaji wao.watoto washirikishwe shughuli wanazozifanya wazazi wao wakiwa bado wadogo
 
Mawazo yako ya ubinafsi.
Ukifa unawaachia warithi wako waishi vizuri.
Jina lako na heshima yako vitaishi muda mrefu hata baada ya kifo chako.
Kuna kitu kinaitwa generational wealth.
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi?
 
Mtu mweusi na ubinafsi ni chanda na pete. Tuseme wewe mleta mada kila kitu/uwekezaji unaoufanya ni kwa faida yako peke yako tu? Si watoto achilia mbali jamii baki. Kama ni hivyo basi una akili finyu sana. Hata kama nyingi haziendelezwi ndo tusifanye maendeleo yeyote kwa sabb tutakufa?
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi?
 
Una akili fipu sana sana wewe. Omba Mungu upate exposure kwa kusafiri na kuishi na jamii nyingine. Ila sikulaumu sana kwa sababu wewe ni muhanga wa elimu na ulimbukeni kama walivyo wabongo wengi. Mawazo mgando kabisa.
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na Akili fupi sana?
 
Back
Top Bottom