rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Kama hukumsaidia kutafuta usimpangie namna ya kutumia.
Kwani mwanamme ndo ataanza kufa? Na kama hana mke au watoto?watakula mkeo na wanao USIOGOPE
Kama umefanya homgera sana,inapendeza wewe ukiwa wa mfano kwanza kwenye ukoo wenu kabla ya kunyooshea vidole wengineNimefanya mengi sana na bado naendelea
Wewe ndio una akili ndogo,Ajili ndogo utazijua tu,
Hawa ndo wenye kichwa kama ubuyu,
Ina maana hujui kuwa kila generation inakazi yake kwenye jamii,
Wewe endelea kuwaza hivo hivo halafu mtoto wako aje kuokota makopo, kama ndo kazi yake.
Maana kwa kizazi kijacho usipocreate Ajira kwa wanao hatakuwa na ajira labda ya kuokota makopo na kuosha vyoo vya stendi.
Wisen up and due your duty so
Uko sahihi kabisa,Generational wealth in your family and your offsprings begins with you.
Kama una bahati unakuta tayari umeachiwa utajiri kama walivyokuta watoto wa S.S. Bakhresa, alivyo achiwa Yusuf Manji, alivyoachiwa Roman Abramovich.
Wealth is an accumulation of your assets, wewe unaanza na hicho kiwanja au nyumbaya mabilioni kisha wanao na wajukuu wanaongezea ulipoishia.
Mo Dewj alirithi utajiri mdogo toka kwa bibi yake Bi Fatma akauendeleza hadi kuwa bilionea mkubwa.
Kama mmefanya hivyo,hongereni kwa kuwa mfano wa kuigwa kwenye jamii na familia zingine waigeZipo tumezikuta, na sisi tuna wajibu wa kuhakikisha wanaokuja wazikute.
Hongera kwa hilo,endelea kufanya hivyo kwa ajili ya kizazi chako ili kuwa motivate na wengine wafate muongozo huoNaam nilianza kuandaa urithi wa vizazi vyangu tangu day 1 na ninaendelea kufanya hivyo.
Mimi nimeshafanya haaya kwa kizazi changu na kipawa mungu alichonjaalia,Wewe ndio una akili ndogo,
Acha kuropoka hovyo,
Nimekuiliza babu zako walishafanya au wewe ushafanya ili kuandalia vizazi vyako??
Badala yake upo jukwaani hapa unashambulia watu wanauoliza vitu vya maana .
Itabidi wewe uanze kuwa wa mfano kwenu na kizazi chenu kabla ya kuropoka na kubeza watu wakati nyie wenyewe ukoo mzima mmerithishwa kelele tuu
Mimi sasa hivi napanda mimea ambayo miaka 7 na kuendelea ndiyo itaanza kuzaa matunda.Uko sahihi kabisa,
Lakini familia za kibongo nyingi hawarithishwi,umetolea mfano bakhresa na MO,kumbuka hizo ni familia za kiarabu sio hizi za kibongo bongo,ingawa saivi pia Kuna baadhi ya wabongo wameanza kufata mtindo huo.
Kiujumla alichouliza mtoaada ni sahihi,
Lakini kila mtu itabidi awe mfano kwa kizazi chake kabla ya kuanza kubeza ambao hawajafanya maana familia za kibongo zimejaa wivu,uchawi NK ,ndio maana ni vigumu kufanya hivyo
Nimesomeshwa na waziazi wangu... na huu ndiyo urithi naona ni bora zaidi... japo hata ardhi na nyumba nimeachiwa.Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na Akili fupi sana?
Ndo maana nimesema tuanze kufanya hivyoNyie kwenye ukoo wenu mmefanya hilo swala la uendelezo wa mali au na nyie mmerogwa pia?
CrapKama umefanya homgera sana,inapendeza wewe ukiwa wa mfano kwanza kwenye ukoo wenu kabla ya kunyooshea vidole wengine
Hongera sana maana wewe mwenyewe umekuwa mfano kwa kizazi chako kijacho,na wao ni vyema ukawafundisha kuendeleza maana yawezekana baada yako wakaja kuzitapanya na nguvu ikapotea bureMimi sasa hivi napanda mimea ambayo miaka 7 na kuendelea ndiyo itaanza kuzaa matunda.
Itachanganya miaka 10 ijayo.
Ningewaza kama huyu jamaa ningesema nitafaidika lini, nisipofaidika mimi moja kwa moja watafaidi watoto na wajukuu miaka hadi 40 ijayo.
Hongera kwa wazazi walo,na ww pia una wajibu wa kuwa mfano kwa kikazi chako utakachoanzishaNimesomeshwa na waziazi wangu... na huu ndiyo urithi naona ni bora zaidi... japo hata ardhi na nyumba nimeachiwa.
Hongera sana kwakoMimi nimeshafanya haaya kwa kizazi changu na kipawa mungu alichonjaalia,
I am comfortable wanangu watasoma mpaka madarasa yawabomokee, na wataishi mjini, na kipato cha uhakika hata wasipofanya kazi.
Kazi kwako kalagabaho