Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na ukavu wa macho?Kuna kitu kinaitwa "Generational wealth creation" nafikiri hujawahi kijua au una ukavu macho nacho au umetoka familia ambayo haikujali/kutengeneza utajiri wa kizazi cha tatu au cha nne mbele.
Real estate ni moja ya njia za kuhakikisha utajiri unatoka kizazi kimoja kwenda kingine.
"Someone is sitting in the shade today, because someone planted a tree long time ago"- Warren Buffet
Kwenu pia mmetengenezq hizo mali za vizazi vijavyo?