Watoto,wajukuu,vitukuu,ndugu jamaa na majirani wao🤸Ukichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
Mkuu inawezekana kama haujafika miaka 50 ukawa na hizo m500 au B's usiwaelewe. Ni kama kipindi kile upo 10+ ulipokuwa unaona utu uzima ni uhuru usio na mipaka.Ukichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
Ukichunguza watu wanaonunua maeneo na majengo yakuanzia 500m-5b hapa jijini DAR wengi tena 70% umri ni kuanzia miaka 50 swali langu uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi apo achana na kupata faida na ukizingatia hasa sisi watu weusi 90% mali zetu hua haziendelezeki kupitia vizaz yaan mshua ukifa na mali,michongo nayo hufa
Hii nayo ni maajabuNimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.
Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?
Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Hata ukiweza kupanda miti wakati una miaka 70 panda,. Usiwe mbinafsiNimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.
Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?
Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Hakuna mtanzania yoyote hata mmoja anayeangalia utajiri wa vizazi vijavyo. Ndo maana hata serikalini afisa anayekaribia kustaafu hataki kujiusisha na kunzisja miradi mipya hata ka ma ni kea madlahi ya serikali.Akili ndogo hii
Watu wanaangalia generational wealth
Wazo dumavuHakuna mtanzania yoyote hata mmoja anayeangalia utajiri wa vizazi vijavyo. Ndo maana hata serikalini afisa anayekaribia kustaafu hataki kujiusisha na kunzisja miradi mipya hata ka ma ni kea madlahi ya serikali.
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na akili ndogo?Akili ndogo hii
Watu wanaangalia generational wealth
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi?Mawazo yako ya ubinafsi.
Ukifa unawaachia warithi wako waishi vizuri.
Jina lako na heshima yako vitaishi muda mrefu hata baada ya kifo chako.
Kuna kitu kinaitwa generational wealth.
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi?Mtu mweusi na ubinafsi ni chanda na pete. Tuseme wewe mleta mada kila kitu/uwekezaji unaoufanya ni kwa faida yako peke yako tu? Si watoto achilia mbali jamii baki. Kama ni hivyo basi una akili finyu sana. Hata kama nyingi haziendelezwi ndo tusifanye maendeleo yeyote kwa sabb tutakufa?
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na Akili fupi sana?Una akili fipu sana sana wewe. Omba Mungu upate exposure kwa kusafiri na kuishi na jamii nyingine. Ila sikulaumu sana kwa sababu wewe ni muhanga wa elimu na ulimbukeni kama walivyo wabongo wengi. Mawazo mgando kabisa.