Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na ukavu wa macho?
Kwenu pia mmetengenezq hizo mali za vizazi vijavyo?
 
Usipojirekebisha utakufa maskini wewe na kizazi chako mkuu.
 
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na Akili ndogo?
 
Mimi sina akili za hovyo kama hizi.
Hongera kwa hilo,
Je na wewe umeandaa urithi wa vizazi vyako vijavyo au una mawazo tuu ila hujatekeleza ?

Maana wanasema charity begins at home,hata kama unasema huna akili za hovyo kama hizo,ila kama hujaweka hayo mazingira ya vizazi vijavyo ina maanisha na wewe ni walewale,hivyo huna haja ya kumlaumu mleta Habari.
 
U
NA AKILI NDOGO SANA ..UNATAKIWA KUVAA HATA NEPI .... YANI UMESHINDWA KUTAMBUA KUWA ASILIMIA 96 YA WANAO FANYA HIVYO NI MAFISADI WANAFANYA HIVYO ILI KUTAKATISHA PESA ZA RUSHWA NA UFISADI WALIZO PATA.
 
U

NA AKILI NDOGO SANA ..UNATAKIWA KUVAA HATA NEPI .... YANI UMESHINDWA KUTAMBUA KUWA ASILIMIA 96 YA WANAO FANYA HIVYO NI MAFISADI WANAFANYA HIVYO ILI KUTAKATISHA PESA ZA RUSHWA NA UFISADI WALIZO PATA.
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi?
U

NA AKILI NDOGO SANA ..UNATAKIWA KUVAA HATA NEPI .... YANI UMESHINDWA KUTAMBUA KUWA ASILIMIA 96 YA WANAO FANYA HIVYO NI MAFISADI WANAFANYA HIVYO ILI KUTAKATISHA PESA ZA RUSHWA NA UFISADI WALIZO PATA.
Je wewe ambaye huna akili ndogo umefanya lipi?
 
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na Akili ndogo?
Ajili ndogo utazijua tu,

Hawa ndo wenye kichwa kama ubuyu,

Ina maana hujui kuwa kila generation inakazi yake kwenye jamii,

Wewe endelea kuwaza hivo hivo halafu mtoto wako aje kuokota makopo, kama ndo kazi yake.

Maana kwa kizazi kijacho usipocreate Ajira kwa wanao hatakuwa na ajira labda ya kuokota makopo na kuosha vyoo vya stendi.

Wisen up and due your duty so
 
yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Sabaabu ya ramani mtu yupo tayari akupe pesa ila sio ramani, elewa maana ya ramani na tatizo ni kwamba wengine hawaaminiki ndio maana wazazi hawataki kukabidhi ramani zao kwa watoto wao ingali ya kua bado wapo hai mpaka mauti inapowakuta sababu wanahofia kusalitiwa wengine inakua tu basi hawataki watoto wawe na kile walichonacho watafute ramani zao wenyewe wasipite kwenye ramani yake maana ugumu au urahisi wa hio ramani anaujua mwenyewe, kwa hio unakua na mali nyingi mwenye ramani ni wewe tu ukifa wewe hakuna mwingine mwenye ramani lazima kila ulichokianzisha kife hakuna mwendelezaji sababu hukutoa ramani kabla haujafa
 
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi?
Generational wealth in your family and your offsprings begins with you.
Kama una bahati unakuta tayari umeachiwa utajiri kama walivyokuta watoto wa S.S. Bakhresa, alivyo achiwa Yusuf Manji, alivyoachiwa Roman Abramovich.
Wealth is an accumulation of your assets, wewe unaanza na hicho kiwanja au nyumbaya mabilioni kisha wanao na wajukuu wanaongezea ulipoishia.
Mo Dewj alirithi utajiri mdogo toka kwa bibi yake Bi Fatma akauendeleza hadi kuwa bilionea mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…