AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Labda za kurithi au kufanya dili haramu ila unafanya kazi serikalini mshahara hauvuki 10M kwa Mwezi kabla ya miaka 50 una B kadhaa hio labda ukamuulize vizuri Babu yako kuna kipande ameacha kukusimulia, ukiniambia umevunja Bank ukafanikiwa kukimbia na pesa za kutoka katika mgao na baada ya mgao sasa unamiliki 500M mpaka B kadhaa na una miaka chini ya 30 hapo sawa nitakuaminiinawezekana kama haujafika miaka 50 ukawa na hizo m500 au B's
Mkuu embu rudia kusoma comment yangu inaonekana hukuelewa.Labda za kurithi au kufanya dili haramu ila unafanya kazi serikalini mshahara hauvuki 10M kwa Mwezi kabla ya miaka 50 una B kadhaa hio labda ukamuulize vizuri Babu yako kuna kipande ameacha kukusimulia, ukiniambia umevunja Bank ukafanikiwa kukimbia na pesa za kutoka katika mgao na baada ya mgao sasa unamiliki 500M mpaka B kadhaa na una miaka chini ya 30 hapo sawa nitakuamini
Hizi wanafanya watu wenye hela nyingi kama kina jk, Mbowe, wasira, Wafunge na mawaziri, na wakurugenzi, hawamtaji faida humo ya kulaNimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.
Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?
Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
M16 kwa siku? Sio Rahisi kihivyo, gharama zake unkuta ni 15MKikakuzalishia sio chini ya shilingi 16,000,000 kwa siku, ambazo ni sawa na shilingi 480,000,000 kwa mwezi
Ingekuwa una mtu wa sales pale Uhai, GSM ama Kitulo ungeamini nikisemachoM16 kwa siku? Sio Rahisi kihivyo, gharama zake unkuta ni 15M
Kila la kheri mkuu tutakupokeaIngekuwa una mtu wa sales pale Uhai, GSM ama Kitulo ungeamini nikisemacho
Mungu akinipa Uhai kabla sijafa, nitawaletea sokoni brand yangu ya Maji mniungishe
AaminiKila la kheri mkuu tutakupokea
Acha waue Maini kwa fedha zaoAamini
Nimepata nguvu baada ya kumwona jamaa angu ana kiwanda chake Cha kuzalisha pombe Kali, Gin
Saivi yupo mbali, naona wanyawaji walimpokea vizuri 🤭
Hahaha......wao si wanataka kulewa kwa shilingi 2,000Acha waue Maini kwa fedha zao
HahaMimi nimebahatika kukaa na wazee wengia wenye mizigo ya pesa hapa bongo wengi wanazika pesa zao uzeeni na wengi hawafanyi kwajili ya vizaz tena wengi wakifa na mali hufa
TBS wakishajua mkono wa baraka hakuna shidaHahaha......wao si wanataka kulewa kwa shilingi 2,000
Wacha jamaa awaue na pombe zake kali
Hahaha..........si walisema mkono tupu haulambwi, na penye uzia penyeza rupia 😅TBS wakishajua mkono wa baraka hakuna shida
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na ukavu wa macho?
Kwenu pia mmetengenezq hizo mali za vizazi vijavyo?
Naam nilianza kuandaa urithi wa vizazi vyangu tangu day 1 na ninaendelea kufanya hivyo.Hongera kwa hilo,
Je na wewe umeandaa urithi wa vizazi vyako vijavyo au una mawazo tuu ila hujatekeleza ?
Maana wanasema charity begins at home,hata kama unasema huna akili za hovyo kama hizo,ila kama hujaweka hayo mazingira ya vizazi vijavyo ina maanisha na wewe ni walewale,hivyo huna haja ya kumlaumu mleta Habari.
Kwa akili kama hizi tutaendelea kurithisha umaskini kwa vizazi vyetu. Huu ni ubinafsi uliokithiri.Nimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya bei hiyo.
Swali langu ni: Uwekezaji wao utarudi baada ya miaka mingapi, hapo achana na kupata faida?
Ukizingatia kuwa, hasa sisi Waafrika karibu 90% ya mali zetu haziendelezwi na vizazi vinavyofuata, yaani mzee akifariki, na michongo yake nayo huondoka.
Inaonekana watoto wa kike walikuwa hawarithi kituKuna familia ina uchumi wa kuogopwa inaitwa Rockefeller angalia hapa kuanzia mwaka 1830's
Wapo na watakuwepo
View attachment 3669328
Na hiyo sio whole history ni kipande tu