Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

Wewe ndio una akili ndogo,
Acha kuropoka hovyo,
Nimekuiliza babu zako walishafanya au wewe ushafanya ili kuandalia vizazi vyako??
Badala yake upo jukwaani hapa unashambulia watu wanauoliza vitu vya maana .

Itabidi wewe uanze kuwa wa mfano kwenu na kizazi chenu kabla ya kuropoka na kubeza watu wakati nyie wenyewe ukoo mzima mmerithishwa kelele tuu
 
Uko sahihi kabisa,
Lakini familia za kibongo nyingi hawarithishwi,umetolea mfano bakhresa na MO,kumbuka hizo ni familia za kiarabu sio hizi za kibongo bongo,ingawa saivi pia Kuna baadhi ya wabongo wameanza kufata mtindo huo.

Kiujumla alichouliza mtoaada ni sahihi,
Lakini kila mtu itabidi awe mfano kwa kizazi chake kabla ya kuanza kubeza ambao hawajafanya maana familia za kibongo zimejaa wivu,uchawi NK ,ndio maana ni vigumu kufanya hivyo
 
Mimi nimeshafanya haaya kwa kizazi changu na kipawa mungu alichonjaalia,

I am comfortable wanangu watasoma mpaka madarasa yawabomokee, na wataishi mjini, na kipato cha uhakika hata wasipofanya kazi.

Kazi kwako kalagabaho
 
Mimi sasa hivi napanda mimea ambayo miaka 7 na kuendelea ndiyo itaanza kuzaa matunda.
Itachanganya miaka 10 ijayo.
Ningewaza kama huyu jamaa ningesema nitafaidika lini, nisipofaidika mimi moja kwa moja watafaidi watoto na wajukuu miaka hadi 40 ijayo.
 
Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na Akili fupi sana?
Nimesomeshwa na waziazi wangu... na huu ndiyo urithi naona ni bora zaidi... japo hata ardhi na nyumba nimeachiwa.
 
Mimi sasa hivi napanda mimea ambayo miaka 7 na kuendelea ndiyo itaanza kuzaa matunda.
Itachanganya miaka 10 ijayo.
Ningewaza kama huyu jamaa ningesema nitafaidika lini, nisipofaidika mimi moja kwa moja watafaidi watoto na wajukuu miaka hadi 40 ijayo.
Hongera sana maana wewe mwenyewe umekuwa mfano kwa kizazi chako kijacho,na wao ni vyema ukawafundisha kuendeleza maana yawezekana baada yako wakaja kuzitapanya na nguvu ikapotea bure
 
Nimesomeshwa na waziazi wangu... na huu ndiyo urithi naona ni bora zaidi... japo hata ardhi na nyumba nimeachiwa.
Hongera kwa wazazi walo,na ww pia una wajibu wa kuwa mfano kwa kikazi chako utakachoanzisha
 
Mimi nimeshafanya haaya kwa kizazi changu na kipawa mungu alichonjaalia,

I am comfortable wanangu watasoma mpaka madarasa yawabomokee, na wataishi mjini, na kipato cha uhakika hata wasipofanya kazi.

Kazi kwako kalagabaho
Hongera sana kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…