Tatizo hao UTT wenyewe hawajitangazi wako wapi! Unaweza kuta wako Dar tu je mtu wa Kigoma anawafikiaje? Unaweza kukuta wanasiasa wameelekeza pua zao hapo ukifika muda wa uchaguzi wanakomba kibuyu chote mwisho wa siku wanaleta kama zile za NSSF na the likeKwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.
Uungwana ni kukubali kwamba ulidanganya.Okay, wala sina sababu ya kujibishana na wewe, na wala hatushindani, we endelea kuweka 40m upate 300,000.
Uungwana ni kukubali kwamba ulidanganya.
Mimi UTT naweka kama savings. Hiyo 40m nimeplan ifike 100m mwisho wa 2024 kwa kuendelea kuwekeza. Sina muda wa kufanya biashara na sitaki hela ikae benki.
UTT wana ofisi mikoani, cheki kwenye website yao. Huku hamna serikali itakayogusa kwasababu ni kitu cha hiari na hela yako unaweza kuichukua muda wowote.Tatizo hao UTT wenyewe hawajitangazi wako wapi! Unaweza kuta wako Dar tu je mtu wa Kigoma anawafikiaje? Unaweza kukuta wanasiasa wameelekeza pua zao hapo ukifika muda wa uchaguzi wanakomba kibuyu chote mwisho wa siku wanaleta kama zile za NSSF na the like
Kikubwa hapa ni mipango ya mtu, kukopa na kujemga au kununua gari ni kuzika hela chini..Mkuu ukifuatilia hawa waajiriwa ni kichekesho, hizo hela huwa zinaisha bila maelezo halafu wanaishia kuteseka.
Mimi namuona mtu kuwa mpumbavu kwa kujishushia kipato. Bora asevu hata miezi minne, apate 1.2m halafu hiyo aitumie kufungua biashara ya kumpa 10k mpaka 30k kwa siku.
Hapo atakuwa ameongeza kipato lakini sio upuuzi wa kutoka kwenye laki 8 hadi laki 4 kwa mwezi.
UTT wana ofisi mikoani, cheki kwenye website yao. Huku hamna serikali itakayogusa kwasababu ni kitu cha hiari na hela yako unaweza kuichukua muda wowote.
Interest ni % ngapi kwa mwaka na makato mengine yapojeUTT wana ofisi mikoani, cheki kwenye website yao. Huku hamna serikali itakayogusa kwasababu ni kitu cha hiari na hela yako unaweza kuichukua muda wowote.
Liquid fund utapata ndani ya siku 3 za kazi na bond fund ni siku 10 za kazi nk. Huo ni utaratibu uliopo."Muda wowote" - yani ukiitaka tarehe 2 week ijayo unapewa?
Kwenye liquid fund ambako mimi nimeweka hela hamna makato yoyote. Faida ipo kati ya asilimia 12 na 14 kwa mwaka kutegemeana na performance ya bond za serikali, gawio la makampuni mbalimbali na pia bond za makampuni mbalimbali.Interest ni % ngapi kwa mwaka na makato mengine yapoje
Liquid fund utapata ndani ya siku 3 za kazi na bond fund ni siku 10 za kazi nk. Huo ni utaratibu uliopo.
Sasa hapo kwenye misamiati mingi ndipo mnatuchanya na huenda ndipo tunapoibiwa "liquid, bond"Kwenye liquid fund ambako mimi nimeweka hela hamna makato yoyote. Faida ipo kati ya asilimia 12 na 14 kwa mwaka kutegemeana na performance ya bond za serikali, gawio la makampuni mbalimbali na pia bond za makampuni mbalimbali.
Naona wewe unataka kubishana tu, nimeshawahi kutoa mara nyingi tu na ndani ya siku tatu hela inaingia.Hemu jaribu kutoa then ulete ushuhuda hapa wa siku 3 au 10.
Hayo ni majina ya mifuko mbalimbali iliyopo UTT.Sasa hapo kwenye misamiati mingi ndipo mnatuchanya na huenda ndipo tunapoibiwa "liquid, bond"
Unaanza mkopo upyaKutop up ni kichomi😂😂😂😁
Ni ktk kuelimishana ndg.Hizi akili za kupangiana maisha ni za kitoto sana, kwani wamekuomba hela ya kula?
Nani kakupangia maisha?Hizi akili za kupangiana maisha ni za kitoto sana, kwani wamekuomba hela ya kula?
Chifu Championship yuko sahihi kabisa na mimi mwenyewe ni shuhuda wa utoaji wa siku 3-10 UTT.Hemu jaribu kutoa then ulete ushuhuda hapa wa siku 3 au 10.
Si bora hata kuanza mkopo upya, "top up" inamaana kuna mkopo ulikuwa unaendelea kukatwa benki lakini ukataka kuchukua mkopo mwingine/mpya ila hauna namna ya kumaliza deni inabidi benki hiyo hiyo iliyokua inakukata inunue deni unalodaiwa ili kumaliza deni na ikupatie mkopo upya, ni zaidi ya majanga [emoji1745][emoji2].Unaanza mkopo upya