Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tatizo hao UTT wenyewe hawajitangazi wako wapi! Unaweza kuta wako Dar tu je mtu wa Kigoma anawafikiaje? Unaweza kukuta wanasiasa wameelekeza pua zao hapo ukifika muda wa uchaguzi wanakomba kibuyu chote mwisho wa siku wanaleta kama zile za NSSF na the likeKwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.