Una mshauri Binti aachane na wazee, una uhakika huyo Binti ana uwezo wa kujihudumia?

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano.

Binti anajielewa ye anajua anacho kipata Kwa huyo Mzee wee soko lako limepita unalazimisha aachane nae alafu Binti mwenyewe ana kuchora tu, we hujui
 
Attachments

  • Screenshot_20260802-061954.jpg
    Screenshot_20260802-061954.jpg
    40 KB · Views: 15
Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano.

Binti anajielewa ye anajua anacho kipata Kwa huyo Mzee wee soko lako limepita unalazimisha aachane nae alafu Binti mwenyewe ana kuchora tu, we hujui
Mabinti wa Dar woote wanaojiita Super women Wana wazee somewhere hili ni janga
 
Back
Top Bottom