realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Wazee wanajua banaWaeleze hao vijana waache wivu! Naogopa kumtag mtu mmoja anapenda kuniita G ila Naamini atapita na kusoma comment yako
Wazee wanajua banaWaeleze hao vijana waache wivu! Naogopa kumtag mtu mmoja anapenda kuniita G ila Naamini atapita na kusoma comment yako
Si unajua Mzee anawezana na under 26 maana binti akifika 26; akili yake inawaza ndoa. Kwa vile mawazo yake yanakuwa katika ndoa, hata utelezi unaanza kuadimika. Imagine mtu ndani una Bi Mkubwa alishavuka enzi za 'kutumia' hivyo ni kukavu ajabu hadi aweke vilainishi ili apate artificial utelezi au adanganywe kula bamia mbichi akifikiri utelezi utakuwepo - holla- mpaka apake mafuta. Halafu mchuchu nao uwe kama Bi mkubwa, hiyo ni haki kweli?Wazee wanajua bana
Tulia tupashe jotoMzee acha kuwaharibia maisha mabinti
Sasa we una umia Nini, acha Mzee akichape alafu siku hizi wazee wameshtuka wanasepa na booster k inapigwa Hadi ina chakaaHakuna mapenzi Kati ya kijana na mzee.
Hapo ni maslahi TU
Nazungumzia mapenzi yanayohusisha ngono
Kipindi Niko Arusha Kuna Mzee alikua anakuja sana pale hotelini, sasa kila akija ananipa stori za videmu vyake mwanzo nilihisi anani pumzikia badae nikajua vyenyewe ndo vinautaka moto na Mzee anaona asiwe mchoyoMabinti wa Dar woote wanaojiita Super women Wana wazee somewhere hili ni janga
Dah pole sana lakini kosa ni lenu na wewe pia, sio lazima kila mtu asome muulizeni ana taka Nini? Kama ni biashara mnamfungulia nyie ni chanzo cha watoto kuteseka si kila mtu lazima asome broDah nina mdogo wangu katoroka kwao wiki ya 2 hii sijui ndo yupo huko au vipi yani kibinti cha f1 hakitaki kusoma na kimetoroka
Pole mkuuAh yani mtihani hivi vitoto kama hayajakukuta huwezi jua uchungu wake
KwishaaaaaaaaaaSasa Vijana wenyewe wanaoa?
Wanajua kuharibu tu! Kutia mimba harafu wanatelekeza wanakimbia watoto!
Wazee wanajua kufariji,kutunza kulea na kutoa huduma!
Wachape TU,ila yanawakuta hatariSasa we una umia Nini, acha Mzee akichape alafu siku hizi wazee wameshtuka wanasepa na booster k inapigwa Hadi ina chakaa
Sasa kumbe family inajiweza muulizeni anataka Nini kama biashara mpeniInshort bado ni mtoto na akili za kitoto huenda akajirudi
Ila kinachouma zaidi 3M ilishalipwa kwenye ada na sidhani kama itarudi
Naomba nitofautiane nawe,hayo mambo hayakuanza jana.Toka kuumbwa KWA Dunia,mfano rahisi kuposwa KWA mama ake Yesu na Joseph akiwa na Miata 88,Umri wake kipindi hicho utashika mdomo.hili ni janga
Huku niliko Kuna mzee anavifagia vibinti hatari,kisa nasikia ana naniliu kubwa.Kipindi Niko Arusha Kuna Mzee alikua anakuja sana pale hotelini, sasa kila akija ananipa stori za videmu vyake mwanzo nilihisi anani pumzikia badae nikajua vyenyewe ndo vinautaka moto na Mzee anaona asiwe mchoyo
Kaka mkubwa upo wapi?Huku niliko
Umasikini chanzo alafu vibinti havipendi kazi siku hizi mitandao inawaharibu wanatamani maisha wasio kua na uwezo nayoHuku niliko Kuna mzee anavifagia vibinti hatari,kisa nasikia ana naniliu kubwa.
Yaani vikimwona tu vinajichekesha utafikiri mbwa kwa chatu
😂😂😂Waeleze hao vijana waache wivu! Naogopa kumtag mtu mmoja anapenda kuniita G ila Naamini atapita na kusoma comment yako
Mshenga unamtetea dada yako siyo!
Na wanamsifia kishenzi ,kama MTU una mke asiyejitambua halafu upo nae jiraniUmasikini chanzo alafu vibinti havipendi kazi siku hizi mitandao inawaharibu wanatamani maisha wasio kua na uwezo nayo
Kwa sasa nipo mbeya mkuu,ila Kuna kipindi nakuwa huku,na kipindi nakuwa darKaka mkubwa upo wapi?