cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ndiyoo 😂😂😂Mshenga unamtetea dada yako siyo!
Ndiyoo 😂😂😂Mshenga unamtetea dada yako siyo!
kimeufuata mjulubeng !!! 😆😆🙌Dah nina mdogo wangu katoroka kwao wiki ya 2 hii sijui ndo yupo huko au vipi yani kibinti cha f1 hakitaki kusoma na kimetoroka
Mimi Mzee njoo inbox tuyajengeWanahudumia vizuri.
Wanatambua wajibu wao.
kukoswa hela ndo sababu ya kuwa na wazee?Tubinti hatuna hela... kwa hiyo wakae kwa kutulia tu¡
naam, mkuu¡ kwani umesha ona mzee kapuku... Anakitoto cha 2k, bila mihela kama wapo basi ni huruma tu za mabinti...kukoswa hela ndo sababu ya kuwa na wazee?