Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Wazee tunaharibu vipi maisha ya mabinti ?Mzee acha kuwaharibia maisha mabinti
Acha wivu!Mzee acha kuwaharibia maisha mabinti
Waeleze hao vijana waache wivu! Naogopa kumtag mtu mmoja anapenda kuniita G ila Naamini atapita na kusoma comment yakoWanahudumia vizuri.
Wanatambua wajibu wao.
Utarogwa dadaWanahudumia vizuri.
Wanatambua wajibu wao.
Mabinti wa Dar woote wanaojiita Super women Wana wazee somewhere hili ni jangaPunguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano.
Binti anajielewa ye anajua anacho kipata Kwa huyo Mzee wee soko lako limepita unalazimisha aachane nae alafu Binti mwenyewe ana kuchora tu, we hujui
Another future single Maza, akishtuka Tu tayari mimbaDah nina mdogo wangu katoroka kwao wiki ya 2 hii sijui ndo yupo huko au vipi yani kibinti cha f1 hakitaki kusoma na kimetoroka
Ah yani mtihani hivi vitoto kama hayajakukuta huwezi jua uchungu wakeAnother future single Maza, akishtuka Tu tayari mimba
Ni mtihani Sana na uchungu kwa Mzazi, lakini mwisho wake huyo Binti mavuno atapata tuu muda haudanganyiAh yani mtihani hivi vitoto kama hayajakukuta huwezi jua uchungu wake
Hii nayo ya vijana kutia Mimba na kusepa ni janga jingineSasa Vijana wenyewe wanaoa?
Wanajua kuharibu tu! Kutia mimba harafu wanatelekeza wanakimbia watoto!
Wazee wanajua kufariji,kutunza kulea na kutoa huduma!
Inshort bado ni mtoto na akili za kitoto huenda akajirudiNi mtihani Sana na uchungu kwa Mzazi, lakini mwisho wake huyo Binti mavuno atapata tuu muda haudanganyi