Una mshauri Binti aachane na wazee, una uhakika huyo Binti ana uwezo wa kujihudumia?

Kama hawabakwi hakuna shida, ni maelewano yao,wengine hata sio hela hawapendi TU tabia za vijana wenzao .vijana wanalwaletea stress na hawezi kuvumilia au kubebembeleza na kutunza
 
K
Dah nina mdogo wangu katoroka kwao wiki ya 2 hii sijui ndo yupo huko au vipi yani kibinti cha f1 hakitaki kusoma na kimetoroka
kimeufuata mjulubeng !!! πŸ˜†πŸ˜†πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…