Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Aaghh hapo si- Ana 40s unapiga tu Mzee hakuna baya hapo ,

Mimi niliwahi kupiga bimkubwa Mmoja anamiaka 50s , so huyo Bado mdogo kabisa chief
Duh ila ulitumia ndomu au vp nyama tamu au
 
Ila kwakweli🀣🀣🀣
 
Sawa watu wa ndoa mnajiona kila kitu sawa ila sio vyema kumfanya mkeo awe na mazoew na simu kuna siku uta cheat utaanza kuficha simu na ata jua mapema kabisa kinacho endelea
 
Kanuni ni moja mzoeshe simu moja or mbili zingine fichilia mbali 🀣
Kuwa mwili dali mmoko si jambo dogo ukiteleza tu amani hakuna
Atakiwi kuzoea kabisa
 
Simu yangu hata password mara nyingu huwa siwekagi naona tabu kuifungua fungua
Iko clean vibaya sana kiasi kwamba kuna mtu nilimuazima akakaa nayo wiki anafanyia sensaπŸ˜…πŸ˜… yani hata saizi myu aniombe sina haja ya jufuta chochote nampa.
Upo single?
 
Mimi hata mkwe nampa atakuta tu picha za vyumbaa na viwanja
Sanasana cha aibu labda zile picha za hennesy nilizopiga nvokaalikwa Goba
 
Ngoja nifute mavideo ya ajabu ajabu ya kudownload
 
Sawa watu wa ndoa mnajiona kila kitu sawa ila sio vyema kumfanya mkeo awe na mazoew na simu kuna siku uta cheat utaanza kuficha simu na ata jua mapema kabisa kinacho endelea
Nikweli ukianza kuficha ama password πŸ”‘ kwa simu ana doubt very true

Iliwai nitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…