Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Ila na wewe kuangalia picha za mumama ni nini. Samsung kwamfano na nyingine zifananazo na hizo zina ile tricycle bin aise. Inaweza kuvunja ndoa yako hivihivi achilia mbali kuvunjiwa heshima utakapofuka😀
 
Zilikuja zenyewe siku zita futa
 
Duh, mkuu hiyo ilikuwa noma sana.
😂
 
Unahoja. Tujitahidi sana kuwa wema kwetu binafsi na wengine pia.

Hahahaha hatari sana. Hii kitu huwa nikiwaza lazima niisafishe simu
 
Naikumbuka hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…