Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Kwakweli
 
Long time kidog kuna pisi iliazima memory card kwa mshikaj wang asa kumbe ile memory ilikuwa inashida ya kugoma kufuta kitu ukiweka, alijpiga naks izo afu akashindwa kufuta oyaa ilibid tukaformat memory yote.πŸ˜‚
Ulikuta chuma
 
Kwahy wewe umejiachia watu wakujue free
Sijasema ujiachie watu wakujue free. Sitaki unafiki huku kwenye simu una mapilau, huku mzee wa kanisa.

Mimi sijawahi kusema mzee wa kanisa hivyo hata ukinikuta na mapilau nitakwambia hayo mbona madogo ngoja nikupeleke live ukaone mengine nilienda nude beach Uholanzi hayo utakimbia mwenyewe.

Yani sitaki ule unafiki wa mtu kujifanya mzee wa kanisa kumbe kila siku unakula chabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…