Una ushauri gani kwa Binti anayeanza maisha mapya mjini?

Hi.

Ushauri gani unaweza kumpa binti aliye in her early 20s ambaye anajiandaa kuhamia mji mkubwa kwa mara ya kwanza, kujihusisha na kazi ya waitress asiye na exposure ya maisha yoyote? Anajiandaa kuishi mbali na wazazi, kukutana na mazingira mapya, watu wapya, marafiki wapya, na hali mpya, ikiwa ni pamoja na kukutana na different men and women from different places, kukutana na watu wabaya na wema, watu wa asili tofauti

Ushauri wenu utasaidia
Samahani bioa kupepesa kama kweli upo vzri katika kujitafuta naomba tuwe pamoja maana mimi natafuta mdada kama wewe..

Kikubwa uwe seriously tuu mimi nitakupa kila unachotaka ambacho kipo chini ya uwezo wangu..

Kama una mtu wako basi
 
Aogope kua CHAWOTE,asidhani kuna siri hapa duniani,akilambwa na watu kuanzia watatu,watajuana na taarifa zitawafikia wengine,namba yake itagombaniwa kinoma,halafu mwisho wa siku watakata shauri mioyoni mwao kua huyu SIYO WA KUOA,ni kumchapa tu,ila HAWATAKWAMBIA,utakua kama gari la VETA la kujifunzia,halafu wanaoolewa ni wengine.Uhuru utumike vizuri.
 
Kila mtu na akili yake kama alikuja Kwa ajil ya kazi basi afanye kazi kama alikuja Kwa mambo mengine basi afanye hayohayo

Mpaka mtu anatoka kwao anakuja mjin inamaana anajua anachoenda kufanya sio jambo la kuamka na kupanda garna kwenda mjin lazma alikaaakajitafakar na mashaur yake ya ubongo
 
Asantesana❤️🙏
 
Asante dada❤️
 
Back
Top Bottom