P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
kila la kheri chamsingi focus na kazi yako usitoke nje ya reliKenya capital city
huku unawasiliana na wazazi mara kwa mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila la kheri chamsingi focus na kazi yako usitoke nje ya reliKenya capital city
Asantekila la kheri chamsingi focus na kazi yako usitoke nje ya reli
huku unawasiliana na wazazi mara kwa mara
Asanteawe makini mjini mahindi hayaoti
Akifika 30+ ataanza kuhahah kusaka mume bora atoe mbususu aolewe mapemaaaaOgopa sana wanaume 🚫
Usikubali kuzalishwa katika umri mdogo 🙅🏽♀️
Focus na kazi yako, jiwekee malengo na weka bidii kuyafikia.
Bwana wee avoid men wakati men ndio wenye hela na moyo wakutoa 🤣🤣🤣🤣Wanaume ndio wateja wako,usiwaogope waheshimu tu,Achana na hao pimbi wengine eti Avoid men,ukiwaukiza how hawajui waseme nini
NakaziaPesa zipo tu. Uache tamaa kuna msemo unasema rudi nyumbani na zawadi usirudi na UKIMWI
Thank youweka akiba,weka malengo ujinasue na utegemezi.
~if you fail to deploy(business) urself,you'll become employed~Dr.myles munroe.
Pimbi Tena 😂 dahWanaume ndio wateja wako,usiwaogope waheshimu tu,Achana na hao pimbi wengine eti Avoid men,ukiwaukiza how hawajui waseme nini
Jaribu na kumkumbusha kutokuomba pesa akiomba pesa tu amekwishaOgopa sana wanaume 🚫
Usikubali kuzalishwa katika umri mdogo 🙅🏽♀️
Focus na kazi yako, jiwekee malengo na weka bidii kuyafikia.
Asiwaogope Ajitahidi Kuwaheshimu Na Kujiheshimu And Vice versaNakazia maneno ya watu huko juu .
Mwambie Aogope wanaume
Mkumbusheni pia kutokuomba pesa ovyo akifanya hivo amekwishaBoys bring babies weka akilini
AsanteAkae mbali na wanaume wanaosema nibebee mimba nikuoe 😜😅
Lakini pia akae mbali na wanaume wa miaka 45 wanaosema Sijaoa.
Si hivyo tu akae mbali na wanaume wanaolala kwenye magheto ya wanawake bila kuogopa.
Kwa kuongezea akae mbali na wanaume wanaosema nikopeshe laki mbili nitakupa laki nne.
Na mengineyo 😜😜😜😜
Thank youMkumbusheni pia kutokuomba pesa ovyo akifanya hivo amekwisha