Una ushauri gani kwa Binti anayeanza maisha mapya mjini?

Nachoweza sema ni kuwa

waitress kama ni bar inalipa, hasa kupata tip hizi kulaza 20k sio shida zake,

Akiwa na malengo anatoboa,

Aepuke makundi hasa yenye uelekeo mbaya, atuepukr wanaume awe na mtu wake wa hamu, sitopendelea kufika Hana mwaka ni single maza,

Aepuke njaa zisizo lazima
 
Akae mbali na wanaume wanaosema nibebee mimba nikuoe 😜😅

Lakini pia akae mbali na wanaume wa miaka 45 wanaosema Sijaoa.

Si hivyo tu akae mbali na wanaume wanaolala kwenye magheto ya wanawake bila kuogopa.

Kwa kuongezea akae mbali na wanaume wanaosema nikopeshe laki mbili nitakupa laki nne.
Na mengineyo 😜😜😜😜
 
Asante
 
Back
Top Bottom