Una ushauri gani kwa Binti anayeanza maisha mapya mjini?

Samahani bioa kupepesa kama kweli upo vzri katika kujitafuta naomba tuwe pamoja maana mimi natafuta mdada kama wewe..

Kikubwa uwe seriously tuu mimi nitakupa kila unachotaka ambacho kipo chini ya uwezo wangu..

Kama una mtu wako basi
 
Aogope kua CHAWOTE,asidhani kuna siri hapa duniani,akilambwa na watu kuanzia watatu,watajuana na taarifa zitawafikia wengine,namba yake itagombaniwa kinoma,halafu mwisho wa siku watakata shauri mioyoni mwao kua huyu SIYO WA KUOA,ni kumchapa tu,ila HAWATAKWAMBIA,utakua kama gari la VETA la kujifunzia,halafu wanaoolewa ni wengine.Uhuru utumike vizuri.
 
Kila mtu na akili yake kama alikuja Kwa ajil ya kazi basi afanye kazi kama alikuja Kwa mambo mengine basi afanye hayohayo

Mpaka mtu anatoka kwao anakuja mjin inamaana anajua anachoenda kufanya sio jambo la kuamka na kupanda garna kwenda mjin lazma alikaaakajitafakar na mashaur yake ya ubongo
 
Asantesana❤️🙏
 
Asante dada❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…