Una ushauri gani kwa Binti anayeanza maisha mapya mjini?

Akili utaipata huku huku mjini..kitambulisho kiwe kishudu tu. Natamani siku moja mh mkuu wa mkoa atangaze kuwarudisha kwenye vijiji vya ujamaa wasio na mikia ili wakalinde kwelea kwelea kwenye mpunga
Wenye Tako hawaolewi
 
Awe mtu wa Mungu
 
Watu wanasema aogope wanaume, hivi wakuu mmesahau mshike mshike wa nye.ge au mnamtia moyo tu hapa? 😂

Mkuu wewe nenda mjini, fanya kazi zako na ufanye na mapenzi pia ila daima tumia kinga.

Wajinga wakitaka kukuhonga wewe hongeka ila usijaribu kumchuna mwanaume, utalipia ana kwa shari au heri.

Mimi sina mengine zaidi ya yote utajichagulia chakufanya ukishafika hapo Nairobi.
 
Wazazi hawana msaada?
Mpaka kujua anapendelea nini huwezi kumshauri kihivyo
Utaambiwa kaa mbali na wanaume kumbe ndio hulka

Ni ngumu kukushauri
 
Avoid men atajioa. Huyo???

"Avoid men who only bring chaos. Him? Leave him behind and live your life with wisdom and understanding. Don’t fear anything."

Yaendee maisha Kwa hekima zote
 
Aisee naona kuna Wimbi la mabinti kuhamia mijini.
 
Ogopa kua omba omba.

wote wanaolalamika uogope wanaume walikua wategemezi.

kua na pesa zako, usipende wanaume kisa wanahudumia tu,

ukilitambua hilo upo mahali salama.

Tafuta pesa zako.
 
Thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…