Una ushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kuja mjini?

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,572
Reaction score
22,926
Habari wakuu.

Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?

Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza kumshauri.

Aende mjini? Au abaki tu kijijini?
Kama ataenda mjini vitu gani azingatie ili afanikiwe?
 
Ushauri wa moja kwa moja hakuna ,kwani maisha hayana njia ya moja kwa moja kwamba ikiwa hivi ama vile ndio itakua hivyo daima.

Nikijichulia mimi mimi mwaka wa , 2002 nilitoka kijijini kuja mjini , nyumbani kule niacha mbuzi na ngombe kadhaa, kuja mjini kwa sasa sina cha maana nachoweza kujivunia , kama ningeendelea kule kijijini na ile mifugo leo ningekua sehemu tofauti nadhani

Pia kuja mtu alikuja kutoka kijijini miaka kumi mbele yangu leo hii ana nyumba kadhaa na gari .
 
Shukrani kiongozi hivyo kwa kuhitimisha kijana abaki kijijini au aondoke ? unaushauri lipi bora?
 
Back
Top Bottom